BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,554
- 9,247
kutua na kuanguka issue haikua kufika tu, bali kutua, nadhani neno zuri ni it crashed before landing nadhani hii haiitaji sayansi ni lugha...Mbona nikijaribu kuelewa sielewi,labda wanasayansi watusaidie
Chombo kilitaka kutua mwezini kikapata hitilafu kikaangukia kwenye uso wa mwezi!? It means kilifika au?
Sent using Jamii Forums mobile app
kutua na kuanguka issue haikua kufika tu, bali kutua, nadhani neno zuri ni it crashed before landing nadhani hii haiitaji sayansi ni lugha...
Mbona nikijaribu kuelewa sielewi,labda wanasayansi watusaidie
Chombo kilitaka kutua mwezini kikapata hitilafu kikaangukia kwenye uso wa mwezi!? It means kilifika au?
Sent using Jamii Forums mobile app
Umemuelewa jamaa lakini?Wanaongeza chumvi, kwani huwajui kwa propaganda hawa 😂😂😂
[emoji12][emoji12][emoji12] Jaribio limebuma
Kilikua karibu 20km kutoka mwezini na kikachukua na baadhi ya picha kabisa za huko mwezini ishu ilikua ni kwenye kutua salama kwenye ardhi ya mwezi ndo injini ikapata hitilafuMbona nikijaribu kuelewa sielewi,labda wanasayansi watusaidie
Chombo kilitaka kutua mwezini kikapata hitilafu kikaangukia kwenye uso wa mwezi!? It means kilifika au?
Sent using Jamii Forums mobile app
OkKilikua karibu 20km kutoka mwezini na kikachukua na baadhi ya picha kabisa za huko mwezini ishu ilikua ni kwenye kutua salama kwenye ardhi ya mwezi ndo injini ikapata hitilafu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio kimefika ila haikuwa matarajìo kufika kikiwa kimeharibika ina maana hakiwezi tena kufanya surveyMbona nikijaribu kuelewa sielewi,labda wanasayansi watusaidie
Chombo kilitaka kutua mwezini kikapata hitilafu kikaangukia kwenye uso wa mwezi!? It means kilifika au?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa ndipo napoamini hakuna binadamu ambaye amewahi kukanyaga mwezini. Kama teknolojia ya 2019 imefeli hiyo mwaka 1969 walifikaje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo watakifuata kukikarabati au ndo basi tena.Ndio kimefika ila haikuwa matarajìo kufika kikiwa kimeharibika ina maana hakiwezi tena kufanya survey
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona ndege za sasaivi zinadodoka lkn za 1924 hazidodoki na bado zinarukaHapa ndipo napoamini hakuna binadamu ambaye amewahi kukanyaga mwezini. Kama teknolojia ya 2019 imefeli hiyo mwaka 1969 walifikaje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Jibu muruaMbona ndege za sasaivi zinadodoka lkn za 1924 hazidodoki na bado zinaruka
Hivi hizi picha huwa wanazipiga kwa kutumia vifaa gani ?