Jaribio la Israel kutua Mwezini limefeli

Jaribio la Israel kutua Mwezini limefeli

Naona vitukuu raha kede! Chombo kimebakiza just 20km kugusa ardhi ya Mwezi out of 4 milion km travelled halafu mnabeza? Tena na picha kilishaanza kurusha duniani; mnachekesha kweli.

Iko hivi, drawings na teknolojia zote walizotumia wanazo kwenye library yao wakiamua ni marekebisho madogo sana hata kesho wanarusha kingine. Sasa ninyi anzeni "ground 0" kama haijawachukua 200 yrs kufika hapo walipo. Unadhani nao by then watakuwa level gani? Endeleeni kujichetua.
 
Rasmi nimeanza kuungana na wale wasiokuwa na imani kwamba hakuna binadamu amewahi kukanyaga mwezini.

Hakuna, Marekani angeenda kila siku kungekuwa na uwezekano.
 
High resolution cameras ambazo zinakua zimefungwa kwenye hivyo vyombo

Sent using Jamii Forums mobile app
Duh! Kamera inayorusha picha zaidi ya km milioni 4 ikikumulika unayeyuka papo hapo. Vitakuwa vifaa vya hatari sana; hizi gama- sijui alpha- sijui x-rays inayotoka hapo ni balaa. Nakumbukia ka-physics kangu nilikoachia F.2.
 
Jiulize ivi Kama marekani alitua mwezini miaka ya 60 huko kwa nini hajawahi kurudi tena hadi leo licha ya maendeleo makubwa ya science
Rasmi nimeanza kuungana na wale wasiokuwa na imani kwamba hakuna binadamu amewahi kukanyaga mwezini.

Hakuna, Marekani angeenda kila siku kungekuwa na uwezekano.

Sent using iPhone x
 
Kuna watu humu ni bogus ni balaa. Wangesikia Iran au China ndio walioenda mwezini wangeamini bila kuhoji...!!!!
 
Back
Top Bottom