dah stor ni tamu na inafundsha saaaaaana nilitaman isiishe yan....wanaume wanazan akikubwaga na kwenda nje utadoda tu bila wengne kukutaman..dah fresh sana jamaa kaipata fresh YA SHAMBA TOKA KA HAWARA...
FREND WAKO WALA ASIMWAMBIE ..ASIMWAMBIE...CZ uyo bwana hajaomba msamaha kwa kupenda its just bcz hawara KAMTIMUA KWA VTENDO ...na ameona afanyaje sasa?ngoja nimrudie yule wangu....angekuwa amejirud wakat wapo poa na uyo hawara yake apo sawa lakin kujirud uko kwa out of option...kiukweli kamfanya mkewake ni oltenativ afta kubwagwa na hawara
ASISEME ASISEME..amchek jamaa km amejirud kweli bas apunguze kasi kwa mfanyabiashara....aambatane na
DAH MPE POLE LAKIN.
Tena mwambie asije akathubutu kumbwambia jamaa ukweli ni kosa kubwa sana. Akae kimya tu atafute njia ya kuweza kuachana na mfanyabiashara maana kama mumewe kajirekebisha basi amsamehe sababu wanaume ndivo walivyo. Ila kucheki HIV muhimu asije akawa kamletea maradhi bure.
Msamaha wa kweli unakuja kwa kuzaliwa upya kwa kila mmja kutubu madhambi yake na kuacha no stone untouched ktk past life, muwe wapya kila mmja atamjua mwenzie ujinga wake upo wapi. kweli wanawake ni wakatili, yaani hata kama mtu kajirudi hamsamehi
..ahh APANA NYAMAYAO HAJAMSHAURI FREND AKE KULIPIZA KISASI EBU CHEK FRESH STORNyamayao to be honest ur nt a good friend,ur killing your friend's conciuos, na hapo ndipo ndoa itakapo bomoka yaani wewe ni kama unamshauri shoga yako kulipiza kisasi, kama makosa kila mtu ametenda na sasa ndio wakati muafaka wa kuyamaliza, sasa kama hatamueleza ukweli mumewe, hicho kimbunga chake katrina ni ndogo, na kwa hiyo story inavyoonekana huyo jamaa anapenda mambo ya ukweli , maana hata small house imeachwa kwa kumdanganya jemba, mwambie atoe siri kabla hilo jambo halijapoa , maana hakuna marefu yasio na ncha, cku atadakwa tu, mapenzi kikohozi unajua hilo
Nyamayao to be honest ur nt a good friend,ur killing your friend's conciuos, na hapo ndipo ndoa itakapo bomoka yaani wewe ni kama unamshauri shoga yako kulipiza kisasi, kama makosa kila mtu ametenda na sasa ndio wakati muafaka wa kuyamaliza, sasa kama hatamueleza ukweli mumewe
Kumsamehe amsamehe ila wanaume wakiambiwa ukweli masimango utakayopata utajuta kuzaliwa mie nakwambia ukweli.
Co wote dena amsi, Iam a man na napenda kuambiwa ukweli,hebu toa hizo preconcieved ideas kichwani mwako,kama mtu amebeg for the truth c dhani kama anataka jingine zaid ya suluhu ya kweli
kaka nimemwambia kile ambacho hata mie kingenitokea ningekana tena kwa nguvu zote, hapa hakuna mwenye uhakika kama ni kweli mume atavumilia kujua kwenye miaka miwili mke alikuwa hamuulizi mbona haurudi nyumbani, mbona mume wangu unanifanyia hivi na vile, kile kilio kilipoozwa na mfanya biashara, sasa huyu mume ataukubali ukweli kwamba kipindi chote hicho mke alichokuwa haulizi lolote juu ya mumewe ni kwamba alipatikana mtu wa kumzibia pengo mpaka kumlisha na kusomesha wanae?
...kama ingekuwa ni rahic hivyo bac ningemshauri aseme ukweli,na kinachomuumiza zaidi mume ni kwamba anajua jamaa ni "kaizer"...mnafahamiana kimjini mjini, uhakika unatokea wapi sasa kwamba kaizer ndio mwnyewe?amepeleleza mpaka amechoka.
Tena mwambie asije akathubutu kumbwambia jamaa ukweli ni kosa kubwa sana. Akae kimya tu atafute njia ya kuweza kuachana na mfanyabiashara maana kama mumewe kajirekebisha basi amsamehe sababu wanaume ndivo walivyo. Ila kucheki HIV muhimu asije akawa kamletea maradhi bure.
et kajirud..kajirud afta machafuko ya awala?Msamaha wa kweli unakuja kwa kuzaliwa upya kwa kila mmja kutubu madhambi yake na kuacha no stone untouched ktk past life, muwe wapya kila mmja atamjua mwenzie ujinga wake upo wapi. kweli wanawake ni wakatili, yaani hata kama mtu kajirudi hamsamehi
Dear Nyamayao,
Kwanza umeandika paragrafu ndefu kupita uwezo wa macho yangu kusoma vizuri...
Swali moja dogo...huyo rafiki yupo radhi kuachana na huyo mfanyabiashara wake?
et kajirud..kajirud afta machafuko ya awala?
Unajua kujirud weew?unajirud katika fare ground ...thats upo poa na hawara yako sema tu unasemayatosha nw naenda kumwangukia mke wangu...apo sawa lakin si km ivi kajirud afta kubaraswa kwa vitendo na hawwara:nono::nono::nono:
Yaaan km vile mlev anakwambia ...kuanzia leo nimeacha pombe wakat ameishiwa hana ata sent ..wat do u thk akizipata?i nia kaitoa kwa dhat au out of option?
Aahh mazingira ya msamaha ndo yananitatiza jeee km wangekuwa hawajagombana na hawara yake akili ya kumrudia mke wake ingekwepo??????????????thk twce