Japanese yen weakens against the dollar

Habdavi

JF-Expert Member
Mar 5, 2011
724
621
$1= 80.30¥
Kama tunavyojua nchi ikiamua kushusha thamani ya pesa yake dhidi ya dolla, ni dhahiri bidhaa zake kuwa za bei nafuu. Hivyo, wafanyabiashara wa magari na electronics huu ndio wakati wa kuagiza mzigo!
SOURCE: NHK NEWS
 
$1= 80.30¥
Kama tunavyojua nchi ikiamua kushusha thamani ya pesa yake dhidi ya dolla, ni dhahiri bidhaa zake kuwa za bei nafuu.

Sio kweli wakati wote. Utahitaji a lot of assumptions ili ulichosema kiwe sahihi wakati wote. Mfano, bei za malighafi za kutengeneza imports zikipanda sambamba na kuteremka kwa thamani ya ela hakutasababisha bidhaa/imports kuuzwa bei nafuu. kushuka kwa thamani kunaiwezesha nchi iwe na command ya imports lakini haina uhusiano wa moja kwa moja na bei za imports, especially Kama market haiko competitive.
 
...strong Yen has been a big curse in Japan's economic growth for the past few years, Japan export sector imeathiriwa sana na strong Yen so itendo cha Yen kushuka kitasababisha uchumi wa Japan kidogo uimarike cuz export sector itaingia kwenye boom since itakuwa rahisi ku import from Japan (for how long will this decline sustain????)....mfano mzuri ni Chionese Yuan, siku zote China inajaribu kuweka strict control measures kuhakikisha Yuan inaremain cheap agaisnt currencies kama US Dollar, na GBP...tats in recent past Marekani amekuwa akimu attack sana mchina na kumwambia aachie thamani ya currency yake iwe determined na soko..
 
Back
Top Bottom