Japanese technology to help old people.

Tokyo40

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2013
Posts
2,065
Reaction score
1,926
Kwa kuwa 20% ya Wajapani ni wazee (65 plus) na wananchi wanagoma kuzaa, serikali inabidi itafute technology ya kuwasaidia watu wazima wanaoumwa miguu, hawawezi kutembea au kutoweza kubeba vitu vizito kutokana na umri mkubwa. Wanatumia "exsoskeleton", ili iwape support katika miguu au mikono.







 
Tanzania wala hatutaki huko waannze na milo 3 tu kwa kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…