Nafikiri ni kwasababu ya mfumo wa uchumi, labda wanafikiri mbele zaidi kama kustaafu wanajitengenezea pensheni kwanguvuzaozote. Alafu ndoawekeze kwenye mahusiano na kulea familia
Nafikiri ni kwasababu ya mfumo wa uchumi, labda wanafikiri mbele zaidi kama kustaafu wanajitengenezea pensheni kwanguvuzaozote. Alafu ndoawekeze kwenye mahusiano na kulea familia
Ni mtambuka ila Hong Kong, Ukraine, Japan, na China ndio nchi ambazo watu hawafanyi Duniani. Asilimia 40 hawana wenza na. Wenye wenza wanafanya chini ya mara 50 kwa mwaka
Ni mtambuka ila Hong Kong, Ukraine, Japan, na China ndio nchi ambazo watu hawafanyi Duniani. Asilimia 40 hawana wenza na. Wenye wenza wanafanya chini ya mara 50 kwa mwaka
Dah, kama sio uchumi itakuwa ni swala la kisaikolojia maana nilisikia zaman mtu ana sema huko jpn watu wanaona mambo ya kikubwa sana tokea wakiwa wadogo wanakuwa wakiyona pia kuna matoy na vifavingi vya sex
pili kama niuchumi nahisi nikautamaduni kwao kuna namna wana misimamo yao kama viapo na nadhiri na kuchukuliana katika jamii yao katika utafutaji ikiwa amepata au amekosa katika harakati za utaftaji. Nasikia hadi kuna majina wamejipa ambao wamefanikiwa au hao ambao wametoka kwenye mfumo huwa wanajjtenga na jamii