Ila wewe jamaagari inayopaa si ni ndege ?, Tatizo sio uwezo wa kuwa na kitu kama hiki tatizo ni uendeshaji na vurugu mitaani atleast gari barabarani unajua uikwepe vipi sasa magari yakianza kupita kama nzi na mwewe itakuwa tatizo hauchelewi kuwa unatembea unashangaa unadondokewa na oil chafu au ganda la ndizi