Nina miaka 53 na ushee.Una umri gani? Unaelewa kwamba December matajiri wanafunga hesabu wanakwenda holiday?
Unafahamu kwamba wazungu wote original December wanarudi kwao kwa ajili ya mapumziko ya Christmas na mwaka mpya?
Unafahamu kwamba maisha ya Watanzania wengi ni ya kuungaunga wanategemeana?
Unaelewa ni kwa nini Magufuli alipowaletea roho mbaya matajili mambo yakawa magumu mpaka mtaani?
Ukiweza kuyajuwa hayo ndio utajuwa ni kwa nini January ni ngumi.
By the way mimi mtaani kwetu watu utadhani ni freemason, pub zinafunga nyomi daily.
Niliwahi panda bajaji nikimharakisha dereva aongeze mwendo ili niwahi naye kwa kujiamini alinijibua kuwa leo ni Jumanne usiwe na hofu kaka hakuna foleni, tunawahi vizuri.Inawezekana hali ya huo mwezi iko hivyo........ndo maana wengine wanasema jumanne siyo siku poa.
Mauaji, mauaji ya raia wemaWasalaam,
Eti jamani huko kwenu vipi January imesha tayari?sie huku ndio tunafika ukingoni.Huku kwetu kila mtu analalamikia huu mwezi,yaani full lawama,eti ni mwezi mgumu sana,watu
Ni mwendo wa ndondo mixer kabeji ukiuliza kuna nini kwani mbona ratiba za mezani hazieleweki majibu Ni yaleyale mwezi mgumu Sana,kila jirani
January huwa inakuja ghafla?Hii sio januari yangu ya kwanza duniani.. sema januari mziki mwingine kabsa
Kilingeni hali ilikuwa ngumu sana wateja walikuwa ni wale wakutaka walimu wasahau kudai ada.. Na wanafunzi waliotaka u monitor[emoji31][emoji2827]Wasalaam,
Eti jamani huko kwenu vipi January imesha tayari?sie huku ndio tunafika ukingoni. Huku kwetu kila mtu analalamikia huu mwezi,yaani full lawama, eti ni mwezi mgumu sana,watu
Ni mwendo wa ndondo mixer kabeji ukiuliza kuna nini kwani mbona ratiba za mezani hazieleweki majibu Ni yaleyale mwezi mgumu Sana,kila jirani namsikia akilia wimbo huo huo sasa nikawa najiulizia hivi.
1. Kwanini January ionekane ni mwezi mgumu kuliko yote kisa tunalipa Ada za watoto, mbona shule ya mwanangu Mimi nalipa Ada karibu mwaka mzima kwa installment,au Kuna shule zinalipa pesa yote January?
Kuna mtu atasema ni kwa sababu December tumetoka holiday, kwa hili sioni kama kuna ukweli maana familia chache ndio zina utaratibu wa kwenda vacation December, na familia nyingi hazina huu utaratibu Sasa tuseme pilau za Xmas ndio zimeleta majanga? sio kweli.
2. Kuna baadhi yetu watoto wetu wanasoma public school hawalipi Ada, lakini wimbo wetu ni uleule January ngumu sana hii sasa ni kuuonea huu mwezi.
3. Hivi Nyie wenzetu mliwahi ishi nchi mbali mbali na huko nako January ni Kama huku? Au sie Tanzania January yetu imekuwa Kali Sana?
Basi nisiwachoshe wananchi,Ila tukipata muda tutafakari na tujipange na na tuwe na utaratibu kujiandaa mapema kukabiliana na huu mwezi.
Tuwe na utamaduni wa kufanya budget za Ada mapemaaaa maana suala la Ada sio suala la ghafla, hii itatusaidia kupunguza hivi vilio vya January na tutauona huu mwezi kama miezi mingine, maana tumeupa Kiki Sana.
Tuwe na siku njema.
By the way mimi mtaani kwetu watu utadhani ni freemason, pub zinafunga nyomi daily.[emoji23]Una umri gani? Unaelewa kwamba December matajiri wanafunga hesabu wanakwenda holiday?
Unafahamu kwamba wazungu wote original December wanarudi kwao kwa ajili ya mapumziko ya Christmas na mwaka mpya?
Unafahamu kwamba maisha ya Watanzania wengi ni ya kuungaunga wanategemeana?
Unaelewa ni kwa nini Magufuli alipowaletea roho mbaya matajili mambo yakawa magumu mpaka mtaani?
Ukiweza kuyajuwa hayo ndio utajuwa ni kwa nini January ni ngumi.
By the way mimi mtaani kwetu watu utadhani ni freemason, pub zinafunga nyomi daily.
assertedLifestyle juu ya uwezo wao
πππWazazi walisahau kuweka Ada wakakimbilia kuendelea kuzipunguza kilingeni,wewe kazi yako Ni kuhakikisha unazitwanga mpaka akili ziwakae sawaKilingeni hali ilikuwa ngumu sana wateja walikuwa ni wale wakutaka walimu wasahau kudai ada.. Na wanafunzi waliotaka u monitor[emoji31][emoji2827]
Nimeiiba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kaka nukuu zako huwa zinanifurahisha