January tuhurumie!!

January tuhurumie!!

mama kubwa

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2010
Posts
6,560
Reaction score
10,613
Kwa heri January
IMG_20200125_140920.jpg
 
Kijiko chote hicho kinaingia kinywani mwako. [emoji15][emoji15][emoji15]
 
January haina shida, pesa inazunguka walau, ikianza february hapo kwenye sahani kuna kimoja hakitakuwepo.
 
Nadhani saa ingine ugumu wa mwezi januari tunauletaga wenyewe hasa pale tunapokosa mipango ya kuona mbali.

Yaani kabla la January ni vyema ikawepo mipango ambayo haiwezi badili mfumo wa maisha pale itakapofika hiyo januari yenyewe.
 
Happy New year My Dada Shadee..
I miss you.
 
Ahsante my dear. Na kwako pia mdogo wangu na hatuna budi kumshukuru aliye juu kwa kutuwezesha kuifikia salama 2021.

I miss you too. Nipo mdogo wangu haya niambie januari kwako ipoje? [emoji23]
Kwangu ni salama kabisa Dada.. Hatuna budi kumshukuru Mungu kuuona mwaka..

January kwangu si mbaya si njema.. Japo imekuja na Changamoto zote.. Ila Mungu atafanya wepesi.
 
Hakika tuzidi kumuomba kila kukicha.

Kikubwa kukabiliana nazo tu hizo changamoto japo zisikupe nafasi ya kufanya ukajutia uwepo wa hiyo Januari. 😂😂

Yah! Kwa kuwa yeye ndio mpaji naamini wepesi utapatikana tu.

Ahsante kunikumbuka mdogo. 🙏🙏
 
Hakika tuzidi kumuomba kila kukicha.

Kikubwa kukabiliana nazo tu hizo changamoto japo zisikupe nafasi ya kufanya ukajutia uwepo wa hiyo Januari. [emoji23][emoji23]

Yah! Kwa kuwa yeye ndio mpaji naamini wepesi utapatikana tu.

Ahsante kunikumbuka mdogo. [emoji120][emoji120]
Amina My Dada.. Stay Blessed.
 
Harage chukuchuku huwa tamu sana
 
Hakika tuzidi kumuomba kila kukicha.

Kikubwa kukabiliana nazo tu hizo changamoto japo zisikupe nafasi ya kufanya ukajutia uwepo wa hiyo Januari. [emoji23][emoji23]

Yah! Kwa kuwa yeye ndio mpaji naamini wepesi utapatikana tu.

Ahsante kunikumbuka mdogo. [emoji120][emoji120]
Shadeeya
 
Back
Top Bottom