January Makamba Umetuangusha Kuhusu Ufisadi Escrow !

Kambi ya Lowassa inaanza kubabaika na kuhangaika na Januari Makamba. Wote tunajua kwamba kwenye vikao vyao huyu pekee ndiye wanayemtaja kwamba ni tishio na sasa wameanza kuja na hii ya kitoto ya kumhusisha na ulaji wa IPTL. Hii nayo itabuma. Tatizo la watu wa Lowasa hawafikirii kwa kina. Katika wote waliotajwa, Ngeleja alikuwa na nafasi ya kuisaidia IPTL kama Waziri wa Nishati, Pinda ana nafasi ya kuisaida IPTL kama PM, Membe naye sina hakika. Sasa Januari anawasaidia vipi IPTL hadi wampe pesa? Halafu nyie watu wa Lowasa si kila siku mnasema huyu bwana mdogo hana nafasi ya ushindi, sasa kama hana nafasi pesa anapewa za nini?

Nimesikia tetesi kutoka ndani ya familia ya Makamba kuhusu uchafuzi huu wa kambi ya Lowasa sasa nao nasikia wanakuja na vitu vizito.

Anna Tibaijuka ana nafasi gan ya kuisaidia IPTL?
 
- you know kama vipi, mimi Ni mshakibi wa January namba moja. Nilitegemea January kuwa tofauti na wanasiasa wengine. Nilimuona kijana msafi asiye na doa na rais wangu mtarajiwa.Nimesikitishwa na kukatizwa tamaa kusikia January naye alichota $800,000 kutoka Escrow account.

-Naomba rais wangu ajitokeze na kutoa ufafanuzi kuhusiana na hili kashfa, maana ilipotokea kashfa ya dadake kumtafutia hela za kampeni, tulitumia nguvu nyingi sana kumtetea

-Sauti ya umeme, and the king of all social media.
Sauti ya umeme, kama vile Le Mutuz baharia.
 
Anna Tibaijuka ana nafasi gan ya kuisaidia IPTL?

Anna Tibaijuka ni waziri.labda baadhi ya mawaziri wamepewa fedha ili kushawishi Baraza la mawaziri kwenye juu ya suala LA IPTL.
 
- you know kama vipi, mimi Ni mshakibi wa January namba moja. Nilitegemea January kuwa tofauti na wanasiasa wengine. Nilimuona kijana msafi asiye na doa na rais wangu mtarajiwa.Nimesikitishwa na kukatizwa tamaa kusikia January naye alichota $800,000 kutoka Escrow account.

-Naomba rais wangu ajitokeze na kutoa ufafanuzi kuhusiana na hili kashfa, maana ilipotokea kashfa ya dadake kumtafutia hela za kampeni, tulitumia nguvu nyingi sana kumtetea

-Sauti ya umeme, and the king of all social media.

ndugu zangu siasa nyepesi na rahisi kama hizi wont get you no where,sakata la IPTL liliibuka kwa mara ya kwanza baada ya January makamba kumtaka waziri wa nishati na madini wa kipindi hiko bw William ngeleja atoe ripoti ya uzalishaji umeme,kwahiyo January chizi mpaka aamue kuibua mjadala kama huo ambao na yeye anahusika,think twice
 
what? jamani hiyo report ya majina ya walochota nitaipata wapi?

Back
Top Bottom