Zitto huwezi kumsikia akisema kitu kwenye hili sakata la mafuta.
Na hii yote ni jeuri maana wanajua hatuna cha kuwafanya, baada ya majibu kama hayo bado ataitwa Mheshimiwa, maisha yanaendelea.Hizi ndiyo brains za CCM na hata mkichagua wenye brains kuwashinda ni sawa na kumwaga sukari Ziwa Victoria.
Haya ndio majibu anayotupa...ok sawa...as long as Rais anamlinda wacha ale maisha....
zumbemkuu njoo huku unaitwaMsambaa hovyo kabisa!
Wasiachwe wakabebe lumbesa za viazi wanapewa kazi nyeti za kutumia akili nyingi.
Hatuna namna, inabidi tubaki na hii imani uliyonayo huku tukiamuachia Mungu.Haya ndio majibu anayotupa...ok sawa...as long as Rais anamlinda wacha ale maisha....
Ila uzuri hakuna kitu kinadumu milele...
Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
Huyo jamaa alifeli shule... kaunga unga sa hizi yupo hapo alipo. Alafu eti ana ndoto za kuwa namba moja!Huyu jamaa anajifanyaga smart sana, ila kiukweli tangu achukue hii Wizara, ni kama inauweka wazi upeo wake.
Tatizo la watz tunalalamika na hatuchukui hatua wacha watufanye watakavyo.Ila kwahii kauli waziri kakosea. Hili sio jibu lakutupa sisi. Inamaana Zanzibar ambako mafuta ni 2600 wao wanazalisha mafuta?
Ametukosea sana waziri.
Ila kwa CCM hii tuliyonayo, wala sitashangaa yeye kuwa mgombea wao siku moja, hii chain, sisi wengine hatuwasogelei, wala hawataki tuwe karibu nao, wanaamini wao ndio wenye hatimiliki na Nchi hii.Huyo jamaa alifeli shule... kaunga unga sa hizi yupo hapo alipo. Alafu eti ana ndoto za kuwa namba moja!
Hizo ndoto anazo kitambo sana...Ha ha ha ha Maana ake hapo kwanza nicheke, Njaanuary na Urais😂