aminiusiamini
JF-Expert Member
- Aug 25, 2011
- 3,577
- 2,220
Top five ya CCMtupe habari vizuri. majina yameshajulikana? na wa tano nani?
Top five ya CCM
1.Bernard Membe
2.John Magufuli
3.Asha Migiro
4.January Makamba
5.Amina s.Ali
NB subiri top 3 ya CCM leo Mchana
Ahsante kwa taarifa.
We pimbi acha kuwewesuka, tulia sindano ikuingie taratibu. maamuzi magumu hayo!Salaam,
Ndugu wana jamii,ni wazi tunazidi kuona muendelezo wa raisi kikwete katika kupendelea watu fulani kwa sababu fulani.
Kwanza niseme,CCM haina nia ya dhati kutaka kuwa na watu makini ndani ya chama na kwenye serikali.
Haya majina matano yaliyotolewa,na kuangalia watu wengine potential waliochwa ni wazi upendeleo umeonekana bila kificho.Kwahili tunaweza kabisa kumlaumu raisi kikwete kuwa ndie anayetugawanya watanzania kwa namna yeyote ile katika kulinda maslahi yake.
Chama kinatakiwa kitueleze ni lipi au vigezo waliyotumia kuchagua hawa watu incompetent kuwania uraisi wa Jamuhuri ya Tanzania?
Kuna watu kama Mwigulu,Dr.Kigangwala na wengineo wengi ambao sidhani kama walipewa nafasi ya kusikilizwa.Wanaenda kumchagua Membe? Makamba? na migiro? kwasababu wapo kwenye serikali iliyopo madarakani.Labda tujiulize ni lipi hawa wagombea wamefanya makubwa ambayo wanafaa kuwania uongozi mkubwa katika nchi? Magufuli ana kashfa nzito ya uuzwaji wa nyumba za serikali.
swali langu ni je CCM wana nia ya dhati kutoa kiongozi ambaye atasimamia nchi na kuirudisha kwenye mstari?
Lowasa naye anakashfa ya Richmond ukisema haina ushahidi na mimi ntakwambia kashfa ya Magufuli haina ushahidi.Salaam,