January Makamba na wagombea uraisi wa tano, muendelezo wa upendeleo na kujuana wa Kikwete

aminiusiamini

JF-Expert Member
Aug 25, 2011
3,578
2,219
Salaam,

Ndugu wana jamii,ni wazi tunazidi kuona muendelezo wa raisi kikwete katika kupendelea watu fulani kwa sababu fulani.
Kwanza niseme,CCM haina nia ya dhati kutaka kuwa na watu makini ndani ya chama na kwenye serikali.
Haya majina matano yaliyotolewa,na kuangalia watu wengine potential waliochwa ni wazi upendeleo umeonekana bila kificho.Kwahili tunaweza kabisa kumlaumu raisi kikwete kuwa ndie anayetugawanya watanzania kwa namna yeyote ile katika kulinda maslahi yake.

Chama kinatakiwa kitueleze ni lipi au vigezo waliyotumia kuchagua hawa watu incompetent kuwania uraisi wa Jamuhuri ya Tanzania?
Kuna watu kama Mwigulu,Dr.Kigangwala na wengineo wengi ambao sidhani kama walipewa nafasi ya kusikilizwa.Wanaenda kumchagua Membe? Makamba? na migiro? kwasababu wapo kwenye serikali iliyopo madarakani.Labda tujiulize ni lipi hawa wagombea wamefanya makubwa ambayo wanafaa kuwania uongozi mkubwa katika nchi? Magufuli ana kashfa nzito ya uuzwaji wa nyumba za serikali.

swali langu ni je CCM wana nia ya dhati kutoa kiongozi ambaye atasimamia nchi na kuirudisha kwenye mstari?
 
Kwenye vikao kama hivyo influence ya kikwete inaonekanaje? Anawaamrisha wajumbe? Anawalazimisha wafuate anachoamini? Influence yake kwenye vikao nyeti kama hivyo ikoje?
 
Top five ya CCM
1.Bernard Membe
2.John Magufuli
3.Asha Migiro
4.January Makamba
5.Amina s.Ali

NB subiri top 3 ya CCM leo Mchana
 
Hivi mwiguru nae hayupo serikalini ? au ni kwa kuwa ameachwa? unaposema watu incompetence mfano magufuri unadhani watz hatujui utendaji wake?
 
tupe habari vizuri. majina yameshajulikana? na wa tano nani?
Top five ya CCM
1.Bernard Membe
2.John Magufuli
3.Asha Migiro
4.January Makamba
5.Amina s.Ali

NB subiri top 3 ya CCM leo Mchana
 
Salaam,

Ndugu wana jamii,ni wazi tunazidi kuona muendelezo wa raisi kikwete katika kupendelea watu fulani kwa sababu fulani.
Kwanza niseme,CCM haina nia ya dhati kutaka kuwa na watu makini ndani ya chama na kwenye serikali.
Haya majina matano yaliyotolewa,na kuangalia watu wengine potential waliochwa ni wazi upendeleo umeonekana bila kificho.Kwahili tunaweza kabisa kumlaumu raisi kikwete kuwa ndie anayetugawanya watanzania kwa namna yeyote ile katika kulinda maslahi yake.

Chama kinatakiwa kitueleze ni lipi au vigezo waliyotumia kuchagua hawa watu incompetent kuwania uraisi wa Jamuhuri ya Tanzania?
Kuna watu kama Mwigulu,Dr.Kigangwala na wengineo wengi ambao sidhani kama walipewa nafasi ya kusikilizwa.Wanaenda kumchagua Membe? Makamba? na migiro? kwasababu wapo kwenye serikali iliyopo madarakani.Labda tujiulize ni lipi hawa wagombea wamefanya makubwa ambayo wanafaa kuwania uongozi mkubwa katika nchi? Magufuli ana kashfa nzito ya uuzwaji wa nyumba za serikali.

swali langu ni je CCM wana nia ya dhati kutoa kiongozi ambaye atasimamia nchi na kuirudisha kwenye mstari?
We pimbi acha kuwewesuka, tulia sindano ikuingie taratibu. maamuzi magumu hayo!
 
Kwa wanawake hii ni habar njema

Kwa vijana hii ni habar njema

Kwa Mkapa hii ni habar njema.

Kwa wazee hii sio habar njema
 
Magufuli mnamsingizia kwenye nyumba kila siku.. EL yeye ana usafi gani??

Akafie mbele huko na pesa zake za kuhonga.. alifikiri anaweza kuununua Urais
 
Salaam,

Ndugu wana jamii,ni wazi tunazidi kuona muendelezo wa raisi kikwete katika kupendelea watu fulani kwa sababu fulani.
Kwanza niseme,CCM haina nia ya dhati kutaka kuwa na watu makini ndani ya chama na kwenye serikali.
Haya majina matano yaliyotolewa,na kuangalia watu wengine potential waliochwa ni wazi upendeleo umeonekana bila kificho.Kwahili tunaweza kabisa kumlaumu raisi kikwete kuwa ndie anayetugawanya watanzania kwa namna yeyote ile katika kulinda maslahi yake.

Chama kinatakiwa kitueleze ni lipi au vigezo waliyotumia kuchagua hawa watu incompetent kuwania uraisi wa Jamuhuri ya Tanzania?
Kuna watu kama Mwigulu,Dr.Kigangwala na wengineo wengi ambao sidhani kama walipewa nafasi ya kusikilizwa.Wanaenda kumchagua Membe? Makamba? na migiro? kwasababu wapo kwenye serikali iliyopo madarakani.Labda tujiulize ni lipi hawa wagombea wamefanya makubwa ambayo wanafaa kuwania uongozi mkubwa katika nchi? Magufuli ana kashfa nzito ya uuzwaji wa nyumba za serikali.

swali langu ni je CCM wana nia ya dhati kutoa kiongozi ambaye atasimamia nchi na kuirudisha kwenye mstari?
Lowasa naye anakashfa ya Richmond ukisema haina ushahidi na mimi ntakwambia kashfa ya Magufuli haina ushahidi.
Pia katika hao watano hakuna mwenye ukaribu na Jakaya zaidi ya lowasa fwatilia historia.
Wewe na wenzako jiandaeni kwenda chama ambacho mwanzo mlikizarau na kukiona kichanga hicho si kingine ni ACT.Hii ni nchi ya kidemokrasia ukiona chama hakitendi haki unaama,Mbona mimi na wajanja wengine tulishakimbia CCM miaka mingi tu.
 
Ameweka wake zake wawili. Shemeji mmoja. Mtoto wa rafiki yake. Magufuli ndio sijui ....
 
Ina maana uongozi wa nchi hii ni wakatoliki na waislam tu? Vipi kuhusu Kaskazini ndio haitakiwi kabisa na CCM? Vipi kuhusu Nyanda za juu kusini, vipi kuhusu kanda ya ziwa na kabila lao kubwa la wasukuma wataendelea kuibeba CCM. Uchaguzi huu ni mzuri sana kwa UKAWA maana sympathy votes ni za kumwaga...
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom