Then.........endelea Makamba
Kuwa ubinafsishwaji ulipigwa danadana na badala yake IPTL ikaja na kuingia mkataba na Kikwete
sema kuwa kipindi hiki ndicho mikataba yote mibovu ya madini na nishati iliwekwa
Endelea kwa kusema kuwa Kikwete amemuweka Ngeleja pale kuficha uozo
sema yote sasa\
Hata Marekani wanamlaumu Obama kwa uozo aliofanya George W Bush, so sioni kitu kipya kwa Ngeleja kulaumiwa sasa. Huyu January sijui amesoma wapi, yaani leo hii kama mtoto wako hapendi kwenda shule, usimlaumu, umlaumu babu yake ambaye hakwenda shule. This is so rubbish January Makamba, elimu yako ni ndogo. Ngeleja analaumiwa kwa kuwa toka amekuwa Waziri hajafanya lolote, ni porojo tu. Mbunge aliyemlaumu alisema exactly that!!!JK alimuweka pale I believe kwa kuwa alijua ni mbunifu na angeweza kuturn around trend ya nchi kuwa gizani, he has failed to do so, and he was told just that. Sasa kumlinda on pretext ya historia itasaidia nini. So hata Janaury atamsingizia Shelukindo aliyekuwa mwenyekiti wa kamati yake in his failure in future, rubbish, sijui hawa watu wamesoma wapi. Hatuangalii who was in charge, tunaangalai who is incharge!-- now and huyo ndiye wa kubeba mzigo. Obama for example he is taking punches left and right for mistakes made by George W, but humsikii akifungua mdomo hata siku moja kusema ah! msinilaumu hili si langu, ni la aliyenitangulia!! Crap!!! Ngeleja knew size ya viatu alivyokuwa anakaribai kuvivaa alipoteuliwa, he could have told mzee JK kuwa Sir, this is too big for me, i dare dont!! AND IF MAY PLEASES YOU TO APPOINT SOMEBODY ELSE!!!!
Ngeleja angeacha utoto, na kupenda anasa za mwili akafocus kwenye critical issues leo hii tungekuwa mbali sana kuhusu suala la umeme. Kiburi na majigambo na utoto ndio vinamfanya kuwa the worst Energy Minister we have ever had in URT. Maokola Majogo was better than him
Umeme ni suala la usalama wa Taifa, inasikitisha kuona linachezewa chezewa tu. Tunawapa Wageni kutuzalishia umeme, that is very wrong, siku tukikosana na China, watasema na umeme hatuzalishi, seriously ndani ya serkali lazima kuwe na watu wenye akili kupita zangu. Kwa nini Kiwira haikupewa NSSF, ambayo ni shirika la serkali kuzalisha umeme, why China? Hawa Wachina kweli Tanzania imeshajua janja yao, waulize mambo wanafanya huko Zambia, ukoloni Africa unarudi na Chinese watatawala Africa, juzi juzi walipiga polisi Bababti, na bado. Suala nyeti la usalama wa taifa kama umeme linapashwa liwe chini ya mamlaka za serekali, si kitu chepesi cha kukibinafsisha tu. Mbona January hakumlaumu Mkapa aliyeleta Net Group ya Shemeji zake kina Maro? Net Group ndio waliocripple Tanesco, I was there na ninajua ninachosema. Hawakuwekeza hata laptop moja, let be serious kwenye hii issue wana jamii.