MmhhMaisha ya watanzania wengi ni magumu sana kwa wakati huu
Upatikanaji wa umeme wa uhakika unasaidia angalau kwa kiasi fulani kuganga hela za kuendesha maisha kwa shida shida hivyohivyo
Tunapokuwa na umeme wa kubahatisha unatuweka kwenye hali gani
Lakini mbali na watanzania maskini ni hasara kiasi gani inatengenezwa kunapokatika umeme?
Makamba aondoke atuachie TANESCO yetu
Kwanini waziri Kalemani aliondolewa na alikuwa anafanya vizuri?
Kuna siri gani kati ya Rais kumuweka Makamba kwenye hii wizara?
Dunia ya mwaka 2015 kurudi nyuma siyo ya 2021 Makamba asitake kuturudisha nyuma ni jambo lisilowezekana
Kwa kipindi hicho tuliamini umeme hautoshi tukaishi maisha yale lakini kumbe tunao umeme wa kutosha kabisa ni ujinga ujinga wa makanjanja wachache tu
Mamilioni wakose umeme ili wajinga wachache wa import generators?
Mtu mwenye mawazo haya hafai hata kuwa baba wa familia watoto wake inabidi asaidiwe kulea stupid
MAKAMBA AONDOKE UWAZIRI UMEMSHINDA
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Au Wana timu himaya wanalalama?Hizi chuki zenu kwa Makamba hazitawasaidia.
Jamaa yupo fiti anachapa kazi. Wenye wivu mjinyonge ndo imeshakuwa.
[emoji23]Au Wana timu himaya wanalalama?
Mwendazake hakukuachia hata kajenereta kadogo ka back up wewe taga?Maisha ya watanzania wengi ni magumu sana kwa wakati huu
Upatikanaji wa umeme wa uhakika unasaidia angalau kwa kiasi fulani kuganga hela za kuendesha maisha kwa shida shida hivyohivyo
Tunapokuwa na umeme wa kubahatisha unatuweka kwenye hali gani
Lakini mbali na watanzania maskini ni hasara kiasi gani inatengenezwa kunapokatika umeme?
Makamba aondoke atuachie TANESCO yetu
Kwanini waziri Kalemani aliondolewa na alikuwa anafanya vizuri?
Kuna siri gani kati ya Rais kumuweka Makamba kwenye hii wizara?
Dunia ya mwaka 2015 kurudi nyuma siyo ya 2021 Makamba asitake kuturudisha nyuma ni jambo lisilowezekana
Kwa kipindi hicho tuliamini umeme hautoshi tukaishi maisha yale lakini kumbe tunao umeme wa kutosha kabisa ni ujinga ujinga wa makanjanja wachache tu
Mamilioni wakose umeme ili wajinga wachache wa import generators?
Mtu mwenye mawazo haya hafai hata kuwa baba wa familia watoto wake inabidi asaidiwe kulea stupid
MAKAMBA AONDOKE UWAZIRI UMEMSHINDA
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Masalia Sukuma Gang....na badoMaisha ya watanzania wengi ni magumu sana kwa wakati huu

Huo ufundi na miundombinu haijaleta shida siku zote mpaka alipoteuliwa Makamba tu ndio ianze kuleta shida?Acha kumshukia Makamba, tatizo la kukatika umeme ni la kiufundi na miundo mbinu yake, uongozi kubadili hamuwezi imarisha upatikanaji wa umeme, tuwaombe waongeze juhudi kutatua matatizo ya kukatika umeme!
Mimi si mwanasiasa ni mtanzania tu Makamba hata akiwa Rais ni kwa faida yake siwezi kuwa na chembe ya chuki kuhusu hiloHizi chuki zenu kwa Makamba hazitawasaidia.
Jamaa yupo fiti anachapa kazi. Wenye wivu mjinyonge ndo imeshakuwa.
Naishi Tanzania mkuu na haya yanatokea hapa hapa sasa kwanini nisiwe na uhakikaUnayosema unauhakika
Unayosema unauhakika Nacho kuwa ndio Hali halisi, au shida ipo kwenye eneo lako, kama zipo za uhakika tushirikishane zaidi Kwa pamoja tupaze sauti.