Muke Ya Muzungu
JF-Expert Member
- Jun 17, 2009
- 3,444
- 265
Hii skendo ya Juzi ya mwamvita, January awaulize Ridhiwani Kikwete na William Ngeleja. nina uhakika 100%. Wamewania kumporomosha jamaa au kupunguza kasi yake. January take notes here. Adui zako wakubwa waliotumia dada yako ni Ngeleja na Ridhiwani. Kuwa mwangalifu jamaa watakumaliza, na wala usimtafute mchawi mwingine. Hawa ndio wachawi wanaopania kukumalia. Ridhiwani bifu binafsi, Ngeleja wewe kuingilia kazi yake.
Pole mkuu ndo utu uzima na siasa uchwara za Bongo
Nilishasema tangu awali kwamba January is a visionary that Tanzania need. Tunamfahamu tangu kule YoungAfrica mpaka hapa Jambo Forum kabla ya jamii forum tulikuwa tunaona why he is different compare to others. Tatizo lake ni kuazaliwa na mzee makamba labda? But other than that the guy is executor and visionary. He forecast things which are beyond normal eyes.
Tunachoendeleza humu ni chuki na majungu na roho mbaya. Wengine humu hatujui hata what this guy is stand for lakini sababu ana jina Makamba in the end of January basi tuna shoot it. We need everybody who is for change, Tanzania need a visionaries, Tanzania need many Zitto and many January.
Dogo kifaa bana, inabidi tumkubali. Tukumbuke hata baba yake alivyokuwa mkuu wa mkoa DSM alipendwa sana.
Alivyoteuliwa tu kwa katibu mkuu wa CCM ndiyo chuki ikaanza.
Nilichoona hapa, hawa watu ni watendaji wazuri, tatizo watu wamewachukia kwasababu ya kuwepo kwao CCM
kapata ubunge kwa rushwa ya $1m
If only you could have known his shit in the darkness and how he is equally reducing Kikwete government into ashes slowly from the inside for a group out there!!!
Nenda kamuulize Riz1 na Ngeleja nani kaandika hiyo email. You still want to know?
Dada yake aliuza mbumunje bro apate ubunge....hatari iii..
Hicho kiswahili kimenipita kando! "mbumunje" maana yake nini?
Ni neno la Kiswahili kweli hili? Hata na mimi nilipata shida kufahamu kinachozungumziwa hadi hapo bila kuelewa kitu.
Kwani January naye ni mbunge? alichaguliwa na nani kwa kura ngapi.
kapata ubunge kwa rushwa ya $1m
Pia kawaachia wananchi contact za maswahiba wafuatao: Rostam, EL, Vijisenti, Yusufu Manji, Makamba Sr., Mwamvita, Serukamba, Komba, Millya,Makongoro na Mama Januari. Kwa kweli anafaa sana!
Huyu jamaa namuona kama ana kavision flani, tumpeni nafasi nafikiri anaweza. Z
[TABLE="class: contentpaneopen"]
[TR]
[TD="class: contentheading"]FAKE EMAIL CIRCULATING ABOUT THE MAKAMBAS......[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: contentpaneopen"]
[TR]
[TD="colspan: 2"]Written by Mange[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: createdate, colspan: 2"]Thursday, 20 October 2011 17:58[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]Phony/fake email circulating about the makambas
Recently kuna email ambayo allegedly inatoka kwa Mwamvita kwenda kwa kibopa wa barrick ,Email inahusu Mwamvita kumuombea kaka yake rushwa.
Huu ni uongo na unyama usiokua na kipimo. Hivi mtu unakua na akili gani ukakaa ukatumia muda wako kutengeneza uongo kama huu?? Unafanya hivi ili iweje? Ni wivu? Chuki binafsi au ushetani??
Ni ngumu kufikiri kwamba watanzania wamefikia kiwango hiki cha kukosa utu. Ukweli siku zote unaonekana kuzidi uongo. Janaury ni msema kweli, mchapa kazi na mtu msafi. Kama hamna cha kuonyesha ndio mtengeneze?? Nimeguswa sana na jambo hili, na naomba wale wapenda haki waniunge Mkono kukumea vitendo vya kizindaki na vya kishenzi katika nchi yetu.
Nahakika, aliefanya jambo hili atajulikana na atawekwa hadhari in a very near future. Na kama ni wewe, be very scared.
I mean really hili jambo limenisikitisha sana. Mwamvita is a young woman that many young Tanzanian women are looking up to. Kwa nini mtu aamue tu kumchafua dada wa watu? Hivi kwani Mwanamke hawezi kushika nafasi nzuri nchi hii kwa kutumia usomi wake na ushapu wake? Kwa nini mwanamke akisha fika juu basi aanze kuchafulia na kuambiwa kafuka pale kwa sababu zisizo za msingi au anatumia nafasi yake vibaya?
Roho imeniuma sana juu ya hili jambo. Bora hata wangetengeza email wakamsema kaka yake January kaomba rushwa labda kidogo ingeeleweka ni yale yale mambo ya siasa za kishenzi za nchi hii. Sasa msichana wa watu hata sio mwana siasa nchini kwa nini atumike kumchafua kaka yake?
Alafu vitu vingine vinahitaji common sense tu kujua kama is this true or not. I mean kweli where in this world umewahi kuona mtu anaomba rushwa kupitia email ya kazini kwake jamani? Tena sio kuomba rushwa tu, na kuweka mapenzi humo humo. Really? Na email address ya ofisini kwako?
Anyways, Mwamvita would like to thank wengi wenu mliompigia simu na kumtumia email kumpa pole kwa hili jambo la kishetani lililofanya na walemavu wa akili na utu.
And shewould like all of you to know that, vita vya kipuuzi kama hivi against her and her family will never hold her back. And she would like all the other women to know that, we have to be strong in this men dominated world, na tusikubali kurudishwa nyuma na kitu chochote kile. Na anawashukuru mno kwa support yenu katika kipindi hiki kigumu kwake na familia yake.
And she would like to assure you that, the email was 100% percent fabricated na sababu kubwa ikiwa ni kumuharibia kaka yake kazi.
Anyways, mimi kama rafiki yake pia nimeumia sana. Kwa kweli its hard kuona ndugu yako au rafiki yako anakuwa bullied bila sababu. Tena ukizingatia hajamkosea mtu chochote. Dada wa watu sio mwanasiasa, anaamka zake asubuhi anaenda kazini,usiku anarudi nyumbani kulala hana shida na mtu. Sasa kwanini wanataka kumwaribia image yake? Au ni kwasababu ni mwanamke mwenye umri mdogo na kafika hapo alipofika?
SASA NAULIZA TANZANIA KWA SIASA ZA KISHEZI HIZI TUTAFIKA KWELI???
MANGE KIMAMBI
PS: Ka email kenyewe kame fojiwa na mtu ambae hata hajui photoshop/kufoji vizuri. hajui hata chini ya email za mwammy huwa kuna headers za kampuni zinatokeaga. Also any email ikiwa printed out inatokea na headersAny IT professional would look at that stupid email and laugh.hata wewe ukitaka unaweka kukaa kwenye word document yako and create it yani thats how poorely done it was.
alafu bora hata angeenda kutafuta mtu anaejua kiingereza lol...kaweka ma broken english humo ili mradi tu. Mwam haongei english kama hiyo,try harder next time.... and soon nakuumbua humu, be ready.....
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Hii skendo ya Juzi ya mwamvita, January awaulize Ridhiwani Kikwete na William Ngeleja. nina uhakika 100%. Wamewania kumporomosha jamaa au kupunguza kasi yake. January take notes here. Adui zako wakubwa waliotumia dada yako ni Ngeleja na Ridhiwani. Kuwa mwangalifu jamaa watakumaliza, na wala usimtafute mchawi mwingine. Hawa ndio wachawi wanaopania kukumalia. Ridhiwani bifu binafsi, Ngeleja wewe kuingilia kazi yake.
Pole mkuu ndo utu uzima na siasa uchwara za Bongo
mijitu mingine sasa kama hii scandal ni ya kweli isiwekwe wananchi tukajua eti kwa sababu ni kijana makini, umakini wake wa mashaka kwa kuingia kwa pupa kwenye mfumo wa kifisadi unaotaka kuwarithisha watu wa aina yake nafasi kubwa za kiuongozi ili uwalinde waliomtangulia na mapatron wake akina RA, EL..mfumo wa kifisadi ili ukue na kuendelee ni lazima uzalishe hawa akina January Makamba na nyie wajinga ndiyo mnaodanganywa na "umakini" wa kijana huyu kiongozi mzalendo wa taifa la kesho. Hata Gobbel wa NAZI hakua na propaganda za kijinga namna hii
tatizo la huyu mange ni kimbelembele na kujifanya mjuaji. watu wanamsoma sana, achunge sana atafanyiwa kitu mbaya anatazamwa na jicho upande. tatizo la january ni zito sana na linachunguzwa na wakubwa ndani ya ccm, iweje anataka kuwamwagia wengine mchanga ndani ya ubwabwa? kuna mawaziri na watoto wa wakubwa kama alivyo yeye mtoto wa makamba. ni msaliti na mwenye huchu wa madaraka ndo maana watu wamemchoka. Mange naye nimesikia kaweka jina la Riz1 na Ngeleja kwenye blog yake, aangalie sana, tena namsisitizia ajichunge ataungua kutokana na tabia zake. mwanamke gani anatoa vitisho kwa wanaume kwa sababu ana blog ya kuchafua watu??