JANUARY MAKAMBA: Master of cheap popularity

JANUARY MAKAMBA: Master of cheap popularity

macho_mdiliko

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2008
Posts
28,300
Reaction score
57,046
Asalaam Alekuum waungwana!
Kuna mwanasiasa mmoja Tanzania ambaye ni bingwa wa kutumia ''rupia'' alizozikwapua kwa njia ya ufisadi anaofanya kwa kisiri siri kuhonga ili jina lake ''lipaishwe''. Huyu mwanasiasa ni mvivu sana na hakuna anachofanya ila kazi yake ni kuangalia upepo unavuma kuelekea wapi halafu anajipendekaza. Kwa mfano sasa amemganda mgombea wa CCM kama luba na haishi kujipenyeza ili kama wizi wa kura ukifanikiwa kama walivyopanga akumbukwe kwenye baraza la mawaziri. Leo alikuja uwanja wa Taifa kujipendekeza na akajifanya kulipia watu viingilio huku akiwa amesha-set na MC ili wakati wa halftime amsifie. Matokeo yake ni aibu ya mwaka kwani watu walianza kushangilia kwa kutaja jina la anayetegemewa kuwa rais wetu, Lowassa. Naomba watu wote wenye nia njema na nchi yetu wafuatilie kwa karibu nyendo za msanii huyu
 
Yule jamaa alitunga sheria ya cyber akijua atakuwa rais. Hana issue
 
.

ndo rais wetu 2025
 
kuna mtangazaji wa redio alisikika akisema 'watu wameambiwa kiingilio bure lakini uwanja hauja jaa'

January Magamba tatizo anajitia ana akili kama Obama kumbe jinga tu.
 
anayehitaji video ya wananchi walioingia uwanja wa taifa huku wakmtaja jina LOWASA na kushika picha zake anicheki pm nmtumie hyo video whatsapp
 
Eti Makamba nae Kichwa CCM,!! Eti Makongoro Nyerere, Lusinde, Nchimbi, Nape, Riz JK, Madabida (ARV feki), Uwoya, n.k Ama kweli CCM vichwa Maji!!
 
Alitaka kufanya mbinu ya kupita bila kupingwa lakini kitendo cha tume kubatilisha huo uhuni safari hii atajua maana ya uchaguzi. Kwa watu yaliowahi kuwakuta kama Lau Masha kaamua kabisa kuungana na Wenje safari hii baada ya kujua kuwa hakuna kinachoshinda nguvu ya umma a.k.a malofa na wapumbavu.
Sio ajabu kitendo cha leo uwanja wa taifa ndicho kimetupiga mkoosi tukatoa draw na kwake ni frustration za kuwekewa mgombea jimboni.
 
Back
Top Bottom