JANUARY MAKAMBA: Master of cheap popularity

JANUARY MAKAMBA: Master of cheap popularity

Kwa mujibu wa 'Set Theory', kuzomewa ccm ni sawa na kuzomewa makamba

Set Theory
The branch of mathematics which deals with the formal properties of sets as units (without regard to the nature of their individual constituents) and the expression of other branches of mathematics in terms of sets.
 
Eti Makamba nae Kichwa CCM,!! Eti Makongoro Nyerere, Lusinde, Nchimbi, Nape, Riz JK, Madabida (ARV feki), Uwoya, n.k Ama kweli CCM vichwa Maji!!

Do not forget madam Asumpta Mshama.
 
itupie hiyo video...........nimesikia eti watu walikuwa wanaimba lowassa!!! uwanja mzima.....ingawa february alijifanyia kampeni ya kulipia watu
 
Napenda kutangaza rasmi kwa niaba ya watanzania wote nimemsamehe LOWASSA na nampa kura yangu
 
Aibu aliyopata najua mpaka saa nane hii ya usiku bado hajapata usingizi.
 
Napenda kutangaza rasmi kwa niaba ya watanzania wote nimemsamehe LOWASSA na nampa kura yangu
Name nakusamehe kwa kujifanya kichwa maji mda wote hauelewi kwamba Lowassa hausiki na ufisadi wowote na kwamba alipokea shinikizo kutoka kwa jeykey asain mkataba wa kifisadi kwa maslahi ya jeykey.
 
Asalaam Alekuum waungwana!
Kuna mwanasiasa mmoja Tanzania ambaye ni bingwa wa kutumia ''rupia'' alizozikwapua kwa njia ya ufisadi anaofanya kwa kisiri siri kuhonga ili jina lake ''lipaishwe''. Huyu mwanasiasa ni mvivu sana na hakuna anachofanya ila kazi yake ni kuangalia upepo unavuma kuelekea wapi halafu anajipendekaza. Kwa mfano sasa amemganda mgombea wa CCM kama luba na haishi kujipenyeza ili kama wizi wa kura ukifanikiwa kama walivyopanga akumbukwe kwenye baraza la mawaziri. Leo alikuja uwanja wa Taifa kujipendekeza na akajifanya kulipia watu viingilio huku akiwa amesha-set na MC ili wakati wa halftime amsifie. Matokeo yake ni aibu ya mwaka kwani watu walianza kushangilia kwa kutaja jina la anayetegemewa kuwa rais wetu, Lowassa. Naomba watu wote wenye nia njema na nchi yetu wafuatilie kwa karibu nyendo za msanii huyu
Nafukua
 
Back
Top Bottom