January Makamba kusababisha mpasuko CCM

Tunahitaji mabadiliko...si jambo la kushabikia lakini Makamba hafai, sababu ni nyingi.
Anafaa sana January. Kulinganisha na wagombea walioonyesha nia, yeye amewaacha mile 10000000

Namuunga mkono January Makamba
 
MUOGOPE MUNGU JAPO KWA MWEZI HUU TU MKUU , hivi MIPASUKO YOTE HII HATA KUFIKIA KIWANGO CHA KUTILIANA SUMU HUIONI ?
 
CCM Kupasuka sio leo wala kesho! ccm ni chama kitakatifu na watu wake
Kwa utakatifu huu kimefanikiwa kuwapa watanzania wote maisha bora, matibabu bora na ya bure, shule za kisasa zenye maabala zilizosheni zana za kisasa, kilimo cha kisasa, bajeti ya serikali inayojitosheleza kwa 100%, ...
 
Kweli kabisa. Na hilo linawezekana tu kwa January Makamba
 
Makundi yapo makamba na membe so far vijembe vinapita chini kwa chini na ccm wengi hawampend labda huko tanga kwao
 
wakati ccm wanajiandaa na uchaguzi mkuu mwakani, chadema wako bize kugombana na Zito
 
Hivi kwanini wanapoteza muda kumjadili huyu kijana? Huyu hata ubunge amepata kwa bahati eti sasa anautaka urais. Bila shaka lowassa amekaa sehemu anacheka sana
 
Anafaa sana January. Kulinganisha na wagombea walioonyesha nia, yeye amewaacha mile 10000000

Namuunga mkono January Makamba

Mkuu, anafaa vipi? Experience ya CCM5 years ikulu akindika speaches, ubunge na Naibu Waziri for five years ndiyo CV tosha ya Urais!!? Hivi kwa hiyo CV yake anamfikia kweli mtu kama Salim au ndiyo sababu ya kutaka kutumia ticket ya ujana !!??
 
Anafaa sana January. Kulinganisha na wagombea walioonyesha nia, yeye amewaacha mile 10000000

Namuunga mkono January Makamba
Hukatazwi kumuunga mkono kwani hilo ni jambo binafsi.

Mtoto wa tumbili ni tumbili tu,hawezi kugeuka kuwa binadamu angali vichakani,na hata akitoka vichakani bado ataendelea kuitwa tumbili.

Mpaka sasa january amefanya nini? Je January ataweza kumuwajibisha fisadi gani ili hali wabadhirifu ndio wahisani wake wakuu? Na mengine mengi... jitambue na usiwe mshabiki bure.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…