nasikia wasambaa ni waaminifu sana,sio vidokozi dokoz aka wizi, jamaa ana future nzuri
nilikutana na mama mmoja, anabajaji zake, akawa anaialia atatapeliwa na mfanya kazi, mwenzake akamwambia, 'wewe wa wapi wewe tafuta kijana wa kisambaa, hutajuta, ni mwaminifu, mchapakzi, hopeful Januar ataifaa sana Tanzania
WATAKUWA sioPia wapo wezi wasambaa acha kampeni!!