January Makamba is the next Tanzania Foreign Minister

January Makamba is the next Tanzania Foreign Minister

SHANTI

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2011
Posts
296
Reaction score
365
Kwa mujibu wa matokeo ya jana ni dhahiri Membe na wazee wenzie wana nafasi kubwa kupewa bendera ya chama.

Kwa sababu hiyo namuona kijana wa bumbuli akienda kukitwaaa cheo cha waziri wa mambo ya nje ili kumkomaza kidiplomasia kama ilivyokuwa kwa watangulizi wake jakaya na membe. Inaonekana ile ndio wizara ya kuwasubirisha vijana wenye umri mdogo kama ilivyokuwa kwa baba Riz.

Namuona anavyokwenda kuyashika magazeti kwa kipindi kirefu cha miaka 10 ijayo.
Amin usiamin hii itatokea kwa kijana wa bumbuli.
NB:
Huu ni mtazamo wangu tu na sio maamuzi ya rais mteule
 
Sasa naamin,wabara hawana chao ktk nch hii. Kama utaratibu ndyo huo,wao wataongozwa mpaka kiama hata kama ndy wasomi wakubwa nchi hii....
 
Ahahaaaaaa , ngoja wenyewee wakusikie uone moto wake
 
Sasa naamin,wabara hawana chao ktk nch hii. Kama utaratibu ndyo huo,wao wataongozwa mpaka kiama hata kama ndy wasomi wakubwa nchi hii....

Ahaaaaaa ngoja wakusikie maneno yako uone mtiti wake.
Huwa wanaumia sana ukiwAambia wanatawaliwa
 
That will never happen, given behind the defeated Low as a the part has killed itself and will disintegrate into several small groups that will fight against each other.

From the discription of lack of unit and discipline expect UKAWA to capilize and that will be the End of ccm.

Along the fact from Chinua Achebe the following will remain valid respectively

1. Things fall apart for CCM - disintegration and perish.

2. NO LONGER AT EASY FOR UKAWA but will emerge victorious
 
UKAWA siwaamini. Watafikiri wameshinda sasa....kitakachofuata kugombania madaraka hata hawajaanza kampeni na hapo ndio watasambaratika kama mbayuwayu wenye njaa kali!
 
nilikutana na mama mmoja, anabajaji zake, akawa anaialia atatapeliwa na mfanya kazi, mwenzake akamwambia, 'wewe wa wapi wewe tafuta kijana wa kisambaa, hutajuta, ni mwaminifu, mchapakzi, hopeful Januar ataifaa sana Tanzania
 
Uko sahihi kabisa na vilevile naona kama Magufuli atakuwa Waziri mkuu na Amina Salum atakuwa makamu wa rais.

Kwa J,makamba hata Mimi nahisi ila kwenye Nafasi ya uRAIS MAGUFULI atapewa nafasi kupeperusha Bendera CCM,,,na kwakuwa JK anawapendelea wanawake na kuwanyenyekea Wapemba huyo mMAMA kutoka Zanzibar atakuwa mgombea mwenza Lengo kupata KURA za wanawake,,,,!
 
Una hakika gani kana ccm watashinda mwaka huu?? Naona kama upinzani wanachukua nchi
 
Kwa J,makamba hata Mimi nahisi ila kwenye Nafasi ya uRAIS MAGUFULI atapewa nafasi kupeperusha Bendera CCM,,,na kwakuwa JK anawapendelea wanawake na kuwanyenyekea Wapemba huyo mMAMA kutoka Zanzibar atakuwa mgombea mwenza Lengo kupata KURA za wanawake,,,,!

Mkuu, utakuwa unajidanganya kama unadhania Kikwete, Nape na Kinana watampitisha Magufuli!!
 
Upepo ulivyo Membe ndie atapitishwa kupeperusha bendera ya chama, January atakaa kwenye chumba cha ngojea...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom