January Makamba hili tabasamu ni la usoni tu ndani ya moyo wako unaumia

Tusisahu sheria ya mitandao Huyu January mshenzi km washenzi wengine watajuana wenyewe yy yule bao la mkono yule kenge mwingine kigoma mjini...ipo siku humu watu watamtetea Bashite nae...
 
There is no market for your emotions,so never advertise your feelings just display your attitude!


Wanzuki oyeèeè
 
Naona unakabidhiana ofisi na Simbachawene ukiwa umepiga picha mbalimbali ukijaribu kuonyesha tabasamu la usoni, moyoni ukiwa umejaa simanzi.

Nasema hivi kwa kua mimi na wewe tunafahamiana barabara,kiukweli umeumia sana.
Anyway piga konde moyo,ndio maisha hayo,ulijaribu kuwashusha wenzako ili wewe upande ,hatimaye umeshuka wewe,yote ni kazi ya mungu,na tuseme Amen View attachment 1161513

Mshikaji wako halafu unakuja kum-snitch humu anonymously!?

Fvck friends!
 
Hivi zile picha zake za yule mwanafalsafa zinazoonesha jamaa yuko shimoni anakata ngazi ya kutokea ili kuwasha moto apunguze baridi, zilimaanisha nini?
 
anavaa kanzu ili kuuaminisha uma kwamba ye ni mwislamu.hakjui kwamba ule utaratibu akitoka mkristo anakuja muislam ushakufaga kifo cha mende
Jamaa huwa haeleweki kama ni muislamu au mkristo. Lakini baada ya awamu hii kuwa mkristo anajinasibisha na Uislamu. Siku hizi anavaa sana kanzu na kofia na kuhudhuria shughuli za kiislamu. Anajua utaratibu wa kupokezana utampa Urais. Ana uchu mkubwa sana wa Madaraka makubwa ya kuongoza nchi.
 
January ana mambo ya kufikirisha; kwa mfano hivi kwa nini kaamua kwenda kukabidhi ofisi akiwa amevaa mavazi haya? Nafikiri ana maana yake!!!
Jamaa sio mzuri na hajiamini, anamambo ya kishamba sana, majuzi alitaka kumharibia Mzee Mwinyi kwa kuwa anamahusiano mazuri na Magu lakini mzee wa watu akamchamba live.
 
body languages hasa mtoko wote hadi miwani,vyote vinamsuta..

UNAFIKI umemjaa,tazama usoni.!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom