January Makamba awa gumzo Kariakoo

Angekuwa wa chama chetu tungemuita kamanda na jembe, hawa wanasiasa wa nchi hii wote wana maradhi ya aina moja, usipoteze muda kuwashabikia kijana fanya kazi uepuke umaskini
 
Hivi amefanya nini hadi tuwe na ushabiki huu? jamani tuwe makini fikirini au tutakuwa na miaka mingine 10 ya kulia na kusaga meno kama hii 10 tunayoimaliza kwani ni maumivu kila kona!:yell:
 
kila kiongozi anawakimbilia hao bodaboda wanawatongoza ili wawachote akili zao.....
si kweli mkuu,bodaboda wengi wao ni vijana na sera ya january ni ukombozi wa vijana ktk nafasi mbalimbali pamoja na ushawishi wa vijana kujitokeza kwa wingi ktk uongozi mbalimbali hapa nchini.kwahiyo hakufanya makosa kuwatembelea vijana hao wa bodaboda.
 
hakuenda kwa minajali ya kwenda kutatua kero zao bali alienda kuwasikiliza mawazo yao pamoja na ndoto walizonazo ktk maisha yao na kwa taifa lao.

Ndoto za alinacha. wao wakomae na boda boda tu. Wasiwaze ndoto wakati wanaendesha bodaboda maana zikitumbukia kwenye yale mashimo ya kariakoo, mtaji kwishaaaa!
 
Angekuwa wa chama chetu tungemuita kamanda na jembe, hawa wanasiasa wa nchi hii wote wana maradhi ya aina moja, usipoteze muda kuwashabikia kijana fanya kazi uepuke umaskini
kwa maana hiyo anafaa kuwa rais wa nchi hii kama atagombea kwa makamanda[CHADEMA].
 
vijana tuamke tujipiganie wenyewe vijana tusikubali kuongozwa na wazee tu kila wakati,wakati ndio huu wa kijiongoza sisi wenyewe.kila la kheri ndugu january makamba.

mhhh. Yaani huyu mtu anayepromote profesheni ya kuendesha bodaboda ni rais wa namna gani asiyejua hata kubuni miradi endelevu kwa vijana??
Nusu ya hao vijana watapata ajali na kupoteza viungo je nguvu kazi itatoka wapi? wala hata hawambii swala la INSURANCE
 
Viongozi kama hawa wanahitaji watu wenye mawazo pevu kama wao au zaidi ya wao nyuma yao ili kuitimiza ndoto ya transformationon, lazima tusimame nao kuwasaidia na hata kuwakosoa(kistaarabu) pale ambapo wanajikuta wanasahau maono na malengo na kujiingiza katika harakati nyingine zisizo sawa. they are not prophets, they are just normal people. They need new ideas and encouragement
 
Hata mimi!

View attachment 201029
 
Hivi amefanya nini hadi tuwe na ushabiki huu? jamani tuwe makini fikirini au tutakuwa na miaka mingine 10 ya kulia na kusaga meno kama hii 10 tunayoimaliza kwani ni maumivu kila kona!:yell:

Viongozi kama hawa wanahitaji watu wenye mawazo pevu kama wao au zaidi ya wao nyuma yao ili kuitimiza ndoto ya transformationon, lazima tusimame nao kuwasaidia na hata kuwakosoa(kistaarabu) pale ambapo wanajikuta wanasahau maono na malengo na kujiingiza katika harakati nyingine zisizo sawa. they are not prophets, they are just normal people. They need new ideas and encouragement

View attachment 201035 View attachment 201041 View attachment 201042
 
Hivi amefanya nini hadi tuwe na ushabiki huu? jamani tuwe makini fikirini au tutakuwa na miaka mingine 10 ya kulia na kusaga meno kama hii 10 tunayoimaliza kwani ni maumivu kila kona!:yell:

Viongozi kama hawa wanahitaji watu wenye mawazo pevu kama wao au zaidi ya wao nyuma yao ili kuitimiza ndoto ya transformationon, lazima tusimame nao kuwasaidia na hata kuwakosoa(kistaarabu) pale ambapo wanajikuta wanasahau maono na malengo na kujiingiza katika harakati nyingine zisizo sawa. they are not prophets, they are just normal people. They need new ideas and encouragement.
View attachment 201035 View attachment 201041 View attachment 201042
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…