commonmwananchi
JF-Expert Member
- Mar 12, 2011
- 3,377
- 1,957
Hatutaki vizazi vya laana za wana mtandao humu.Ni swali wakuu. Ndugu yetu huyu ni mwanadiplomasia sana. Mshiriki mzuri wa siasa za nchi kwa kuwa ametumia muda wake mwingi kulijenga Taifa akiwa hewani+hewani tena na barabarani.
Ni mstaarabu mno kiasi kwamba anaeleweka mpaka kwa watu wenye uhitaji na maono "mafupi' tu.
Nchi yetu ni maskini na 75% tuna maono mafupi. Ndugu yetu kawafikia wengi katika vipindi tofaouti na kwa muda mrefu.
Hatutegemei kuwa na viongozi malaika na mazingira yetu na kutengeneza nguzo imara za Nchi yetu, ndiyo maana nauliza hivyo.
Naleta humu na asanteni kwa yote.
Kwendeni zenu huko,mliyotufanyia mkishirikiana na baba zenu yalitosha na sasa kaeni mle mlichokusanya.
Wapambe nuksi nendeni mpewe mafungu lakini sisi wapiga kura
#tunasimama na JPM 2025
