Next president wa wapi nani atampa hizo Kura?Kwani bado yupo?.
Au ndiyo ameamua kuakaa kimya huku akijiandaa kuokoka kuwa mlutheli kwa kigezo kumfuata mamake although lengo likiwa (ahahahahaaaa) eti di next presidenti..!
Kipimo chako Cha kupwaya ni kipi utusaidie?Wakati Makamba akiwa waziri wa mazingira katika serikali ya awamu ya tano aliifanya wizara hiyo ambayo huwa sio maarufu sana kuweza kunga'ara na kusikika sana. Aliweza kuisimamia kwa ubunifu mkubwa na kuipa umaarufu sana.
Mojawapo ya jambo kubwa alilosimamia kwa umahiri na weledi mkubwa ni kuondolewa kabisa kwa vifungashio vya mifuko ya plasitiki bila purukushani. Alikuja na mawazo bunifu ya jinsi ya kupunguza matumizi ya mkaa, alikuwa akihusika sana kusimamia upandaji miti, viwanda vilivyokuwa vikifanya uchafuzi wa mazingira viliadhibiwa vikali, alihamasisha teknolojia katika sekta ya mazingira.
Huenda Makamba angefaa zaidi katika mazingira kuliko alipo sasa ambapo anatupiwa lawama kibao kwa jinsi hali ya huduma ya umeme kutoka shirika la TANESCO ilivyo ya kusuasua. Pamoja na utetezi wake mwingi raia wengi bado wanamuona hatoshi, huenda nyota yake iko katika mazingira.
Kwani si mnasema CCM hata msipoipigia kura wenyewe wanajitangaza tu!.Next president wa wapi nani atampa hizo Kura?
makamba ni overrated.Wakati Makamba akiwa waziri wa mazingira katika serikali ya awamu ya tano aliifanya wizara hiyo ambayo huwa sio maarufu sana kuweza kunga'ara na kusikika sana. Aliweza kuisimamia kwa ubunifu mkubwa na kuipa umaarufu sana.
Mojawapo ya jambo kubwa alilosimamia kwa umahiri na weledi mkubwa ni kuondolewa kabisa kwa vifungashio vya mifuko ya plasitiki bila purukushani. Alikuja na mawazo bunifu ya jinsi ya kupunguza matumizi ya mkaa, alikuwa akihusika sana kusimamia upandaji miti, viwanda vilivyokuwa vikifanya uchafuzi wa mazingira viliadhibiwa vikali, alihamasisha teknolojia katika sekta ya mazingira.
Huenda Makamba angefaa zaidi katika mazingira kuliko alipo sasa ambapo anatupiwa lawama kibao kwa jinsi hali ya huduma ya umeme kutoka shirika la TANESCO ilivyo ya kusuasua. Pamoja na utetezi wake mwingi raia wengi bado wanamuona hatoshi, huenda nyota yake iko katika mazingira.
Pumbavu wewe. Unamwambia nani?Wakati Makamba akiwa waziri wa mazingira katika serikali ya awamu ya tano aliifanya wizara hiyo ambayo huwa sio maarufu sana kuweza kunga'ara na kusikika sana. Aliweza kuisimamia kwa ubunifu mkubwa na kuipa umaarufu sana.
Mojawapo ya jambo kubwa alilosimamia kwa umahiri na weledi mkubwa ni kuondolewa kabisa kwa vifungashio vya mifuko ya plasitiki bila purukushani. Alikuja na mawazo bunifu ya jinsi ya kupunguza matumizi ya mkaa, alikuwa akihusika sana kusimamia upandaji miti, viwanda vilivyokuwa vikifanya uchafuzi wa mazingira viliadhibiwa vikali, alihamasisha teknolojia katika sekta ya mazingira.
Huenda Makamba angefaa zaidi katika mazingira kuliko alipo sasa ambapo anatupiwa lawama kibao kwa jinsi hali ya huduma ya umeme kutoka shirika la TANESCO ilivyo ya kusuasua. Pamoja na utetezi wake mwingi raia wengi bado wanamuona hatoshi, huenda nyota yake iko katika mazingira.
Bwashee mbona povu? Kwani wewe ndiye januari? Watu mna hasira kwa kweli π πPumbavu wewe. Unamwambia nani?
Nakuunga mkonoWizara aliyopewa ni ngumu sana...
Na alipokuwa Rais sasa ndio akaifanya maajabu ya flyover,SGR,barabara za lami mitaani lakini mbona Kwa wengine hatuoni any initiativeMbona hamumsifii JK kwa kujenga mtandao mkubwa zaidi wa barabara wakati JPM akiwa waziri wake wa ujenzi?
Suala la vifungashio si yeye ila naweza sema ni kwa sababu ya uongozi imara WA JPM ulikuwepo kwa wakati huo na wananchi walilielewa na kuyajua vyema madhara ya mifuko ya plastiki na ndio ilipelekea zoezi kufanikiwa kwa ukubwa