January Makamba ajihami kupitia

Umenena vema eh mwana wa Adam!
Shida ni moja tu, hukumpa nafasi mh. Raisi wako achunguze shutuma za mh. January! Wewe umemuamulia raisi kwamba huo ni uongo!

Haya kwa kuwa umenena vema raisi afanye uchunguzi, muombee kwa Mungu wake ampe nguvu na uwezo wa kutambua ukweli na atende haki Mara baada ya uchunguzi!
 
Usiku wa jana watu wamelipwa wakakesha kuandaa nyaraka za kumtetea yule dogo anayeuza rasimali sambamaba na papuchi ya dafaye.
Ningekuwa mimi ili nikubali kumtetea ningeomba ka-Vitz na hiyo nanilii uliyoiandika hapo ya dada ake kwa angalau mwezi...
 
Hivi kumbe JPM anafanya maamuzi kutegemea maoni ya mitandao ya jamii? Basi UWT hawana kazi.
 
so umetumwa kumsafisha makamba? Acha mitandaoni wajiapize watu wamejua ni kwel,na huyu dogo amekua mla rushwa mzuri sana na kubebwa bebwa na jk akajiona ni kiongoz kwel, hebu linganisha makamba na sitta,jaji ramadhan,mwandosya,lowasa,pinda,mwakyembe n.k january ana presidential characteristic gan ya kuwazid hawa? Toka hapo nilimchukia sana january
 
Mwalimu J K Nyerere alishaweka bayana katika moja ya hotuba zake kwamba "Kiongozi ukitajwa tajwa katika mambo machafu basi ujue wananchi hawana imani na wewe,kaa pembeni"
 
''Lakini mimi najua huyu siye Magufuli niliyempa kura yangu. Magufuli niliyempa kura yangu ni mtu wa haki''

''Tuendelee na safishasafisha Rais wangu. Ila ni muhimu watu wanaopenda kufitiniana wajue Rais wangu ni mtu wa haki. Sio ukimsema tu kiongozi kwenye Serikali yake basi upanga unampitia''

Sasa kma ushajua Rais wetu ni mtu wa haki na anatenda haki, huu ushauri wako unampa nani? amekuambia anataka ushauri kutoka kwako? ushauri wako wape ndugu zako kule kijijini waache kuuza na kunywa gongo, hapo utakuwa umewasaidia!
 
acha ujinga wapi january kasema amepokea fedha kutoka kwa mzungu usiongee vitu usivyojua utafungwa tu
 
Usiku wa jana watu wamelipwa wakakesha kuandaa nyaraka za kumtetea yule dogo anayeuza rasimali sambamaba na papuchi ya dafaye.
Daaah!! Hii familia ni noma mazee.
Yaani jamaa anatanguliza papuchi ya sister mbele kama chambo kisha anauza rasikimali za taifa.
Na deal inachezwa kifamilia.

Hii familia kiboko, bro Magu akaange hiki kirusi faster
 
Nimependa maoni yako.
Ila hili sakata lilishaisha mbona!!?au
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…