ridhiwani gamba
Member
- Oct 15, 2011
- 15
- 4
Upon smart
Ww umekalili pole angalia maana yakeJina lako lina I.T ,sishangai nishajua wewe ni nani
Mungu amuongoze aminRais ni taasisi inayojitegemea, ni taasisi yenye vitendea kazi vyote muhimu, ni taasisi yenye watendaji wenye utashi na wanaojua wajibu wao, kama umefuatilia kwa makini baadhi ya hotuba za Rais, anasema:
Kwa maneno hayo machache kati ya mengi ambayo Rais amekuwa anasema karibu katika kila hotuba zake yanaashiria ufahamu wake juu ya mambo anayoyafanyia kazi ni wa kutosha na maamuzi yake yanafanywa kwa umakini zaidi ya vile tujuavyo mimi na wewe;
- Hayupo kwa ajili ya kumuonea mtu yeyote...
- Yeye ni Rais wa watanzania wote bila kujali itikadi, dini wala makabila...
- Anajua majipu yako mengi na mengine tena makubwa yapo ndani ya chama chetu...
- naomba watanzania wa dini zote mniombee nitakapokuwa natekeleza wajibu wangu...
- nk
Nakushauri ndugu yangu, senior member mwenzangu Bak byzo I.Ttumwache Rais atupeleke tulikomwomba atupeleke, maana sisi kama abiria tuna mitazamo mingi yenye maslahi binafsi nk. (kumchomea au kumtetea Makamba) ningeshauri tena tutambue kuwa chombo kipo safarini, tumwache rubani afanye kazi yake nasi kwa upande mwingine tuendelee kutimiza wajibu wetu
halafu tunaambiwa hawa vijana ni wasomi na wana akili sana , sasa kwanini wanashindwa kuanzisha mambo mengine zaidi ya kung'ang'ania ajira za babazao ? mfano wa karibu ni mimi erythrocyte , pamoja na kwamba sijawahi kuajiriwa na serikali ya Tanzania lakini nilitumia vizuri elimu yangu na sasa nimeajiri watz zaidi ya 300 , hawa wanaogopa nini , si wana akili sana ?

***WARAKA KWA RAIS MAGUFULI
Rais Magufuli usikubali watu wakutumie kumalizana
Na Paul Mwandemele
Rais wangu mpendwa, nakuandikia kwa heshima kubwa. Nakupongeza kwa kazi nzuri unayoifanyia nchi yetu, hasa safishasafisha ya viongozi wabovu. Kazi hii imepokelewa vizuri na wananchi.
Hata hivyo watu wengi tunaoishi huku mitaani na kufuatilia mwendeno wa Serikali yako tumebaini mwelekeo mmoja ambao napenda nikujulishe ili hili suala lisije kukuharibia na kuharibu kazi nzuri inayofanywa.
Majuzi nilikuwa kwenye mgawaha mmoja unaitwa Cruz-In Mikocheni. Wadau tuliokuwa nao walikuwa na mjadala mzito kuhusu Serikali yako. Upande mmoja wanasema Serikali yako inafukuza watu kwa ajili tu ya sifa kwa umma na kwamba kuna watu wengi wanaonewa. Wanasema kwamba ukitaka mtu afukuzwe na Rais wewe mchafue tu kwenye vyombo vya habari, tengeneza mazingira kama hatakiwi na jamii na utaona kama Rais hatamfukuza. Kwa upande mwingine, ambao nami nimo, tulikuwa tunapinga na tunasema Rais ni mtu wa haki, anafuata sheria na ukiona mtu katimuliwa ujue uchunguzi umefanyika na uchunguzi sio lazima utangazwe na kwamba mtu huyo kapewa haki ya kuelezea upande wake. Sisi tukasema Rais ni mtu wa haki. Lakini tulibishiwa sana.
Rais wangu jamii yetu imeharibika. Watu wanafurahia wengine wakidhalilika. Watu wanapenda kuona damu. Watu wanapenda visasi. Watu wanachukiana. Wengine wanafurahia safishasafisha sio kwasababu inasaidia nchi, bali kwasababu kuna watu wanaumbuka. Kwenye vyombo vya habari na mitandaoni kuna watu sasa wanatengeneza orodha ya nani anayefuatia kwenye kuumbuliwa. Dhana ya utumbuaji majipu wanaipotosha. Visasi vyao wanataka vikamilishwe na Serikali yako. Naomba usikubali kabisa. Moja ya sifa ya kiongozi ni kutenda haki. Rais ameshika upanga mkuu na upanga huo una makali na anaweza kuutumia atakavyo. Rais wangu usikubali watu wakushinikize kuzungusha upanga kwasababu tu ya raha ya kuona kichwa kinadondoka.
Mifano ya mashinikizo haya ipo mingi. Lakini mfano wa karibuni ni wa Waziri wako, January Makamba. Lipo kundi limejiapiza kwamba lazima aanguke na tunapowasoma mitandaoni wanasema wazi kabisa namna ya kumuangusha kijana wako huyu ni kumtengenezea uchafu wa kutunga ili Magufuli aone raha kuzungusha upanga. Pamoja na kujua kabisa kwa uhakika kwamba wanayozungusha ni ya kutunga, wanajihakikishia kwamba Magufuli anaamka na upanga na akisikia tu mabaya haulizi, anakata. Lakini mimi najua huyu siye Magufuli niliyempa kura yangu. Magufuli niliyempa kura yangu ni mtu wa haki.
Tuendelee na safishasafisha Rais wangu. Ila ni muhimu watu wanaopenda kufitiniana wajue Rais wangu ni mtu wa haki. Sio ukimsema tu kiongozi kwenye Serikali yake basi upanga unampitia. Wakijua hivyo Rais hayumbi, fitina zitapungua kwenye Serikali na kwenye siasa. Umechagua timu imara kwenye Serikali yako. Nimefurahi kwamba pamoja na mashinikizo na fitina kuhusu Prof Muhongo na Prof Maghembe bado umewapa nafasi wakusaidie. Umetengeneza sifa nzuri kwamba maneno ya magazeti na mitandaoni hayasukumi uamuzi wako. Kuna ambao hawapendi kwamba baadhi ya watu wamo kwenye Serikali yako. Simama imara na timu yako, anayeharibu atolewe, anayesakamwa kwa fitina simama naye, utaijengea timu yako kujiamini katika kazi zao na watakufanyia kazi nzuri. Tusikubali kurudi kule kwenye miaka 10 iliyopita ambapo nchi ilipitia Mawaziri 121 kwasababu fitina ziliruhusiwa, na Mawaziri wakawa wanapukutishwa kila miezi sita. Unayo nafasi kubwa ya kuisaidia nchi kumaliza fitina kwenye siasa nchini kwa kuonyesha kwamba huchukui hatua kwa kufuata upepo, ambao zama hizi unatengenezwa mezani.
Nisamehe kama nimekukwaza kwa kutoa ushauri lakini mimi nimekupa kura yangu na ni mdau mkubwa wa kutaka Serikali yako ifanikiwe.
WARAKA KWA RAIS MAGUFULI

siamini kabsaa kama kuna wasomi katika nchii hii wananunuliwa na watu wasiowasafi ili wawatetee humu ndani! INASHANGAZA SANA msomj na akili zake timamu anafikiri kuwa raisi anatumbua majipu pasipokuwa na ushahidi ulijitosheleza. Sisi tusipomsaidia rais kuibua maovu unafkir nini kitatokea? Serikali wa awamu ya nne ilidharau sana maoni ya wananchi na vyombo vya habari ljn jpm amekili waziwazi kuyafanyia kazi naoni mbalimbali ili kutimiza malengo yake! Hakuna chuki wala uhasama huo ndio ukweli na ni mchungu/mwiba mkali kwa waliozoea kuona maoni ya wananchi au media hayafanyiwi kazi.
huyu jamaa kuku kweli sa yeye amejuaje yanayongelewa juu ya bwana february marope ni ya kutunga?amejuaje huyu? au jipu linamtekenya!!!WARAKA KWA RAIS MAGUFULI
Rais Magufuli usikubali watu wakutumie kumalizana
Na Paul Mwandemele
Rais wangu mpendwa, nakuandikia kwa heshima kubwa. Nakupongeza kwa kazi nzuri unayoifanyia nchi yetu, hasa safishasafisha ya viongozi wabovu. Kazi hii imepokelewa vizuri na wananchi.
Hata hivyo watu wengi tunaoishi huku mitaani na kufuatilia mwendeno wa Serikali yako tumebaini mwelekeo mmoja ambao napenda nikujulishe ili hili suala lisije kukuharibia na kuharibu kazi nzuri inayofanywa.
Majuzi nilikuwa kwenye mgawaha mmoja unaitwa Cruz-In Mikocheni. Wadau tuliokuwa nao walikuwa na mjadala mzito kuhusu Serikali yako. Upande mmoja wanasema Serikali yako inafukuza watu kwa ajili tu ya sifa kwa umma na kwamba kuna watu wengi wanaonewa. Wanasema kwamba ukitaka mtu afukuzwe na Rais wewe mchafue tu kwenye vyombo vya habari, tengeneza mazingira kama hatakiwi na jamii na utaona kama Rais hatamfukuza. Kwa upande mwingine, ambao nami nimo, tulikuwa tunapinga na tunasema Rais ni mtu wa haki, anafuata sheria na ukiona mtu katimuliwa ujue uchunguzi umefanyika na uchunguzi sio lazima utangazwe na kwamba mtu huyo kapewa haki ya kuelezea upande wake. Sisi tukasema Rais ni mtu wa haki. Lakini tulibishiwa sana.
Rais wangu jamii yetu imeharibika. Watu wanafurahia wengine wakidhalilika. Watu wanapenda kuona damu. Watu wanapenda visasi. Watu wanachukiana. Wengine wanafurahia safishasafisha sio kwasababu inasaidia nchi, bali kwasababu kuna watu wanaumbuka. Kwenye vyombo vya habari na mitandaoni kuna watu sasa wanatengeneza orodha ya nani anayefuatia kwenye kuumbuliwa. Dhana ya utumbuaji majipu wanaipotosha. Visasi vyao wanataka vikamilishwe na Serikali yako. Naomba usikubali kabisa. Moja ya sifa ya kiongozi ni kutenda haki. Rais ameshika upanga mkuu na upanga huo una makali na anaweza kuutumia atakavyo. Rais wangu usikubali watu wakushinikize kuzungusha upanga kwasababu tu ya raha ya kuona kichwa kinadondoka.
Mifano ya mashinikizo haya ipo mingi. Lakini mfano wa karibuni ni wa Waziri wako, January Makamba. Lipo kundi limejiapiza kwamba lazima aanguke na tunapowasoma mitandaoni wanasema wazi kabisa namna ya kumuangusha kijana wako huyu ni kumtengenezea uchafu wa kutunga ili Magufuli aone raha kuzungusha upanga. Pamoja na kujua kabisa kwa uhakika kwamba wanayozungusha ni ya kutunga, wanajihakikishia kwamba Magufuli anaamka na upanga na akisikia tu mabaya haulizi, anakata. Lakini mimi najua huyu siye Magufuli niliyempa kura yangu. Magufuli niliyempa kura yangu ni mtu wa haki.
Tuendelee na safishasafisha Rais wangu. Ila ni muhimu watu wanaopenda kufitiniana wajue Rais wangu ni mtu wa haki. Sio ukimsema tu kiongozi kwenye Serikali yake basi upanga unampitia. Wakijua hivyo Rais hayumbi, fitina zitapungua kwenye Serikali na kwenye siasa. Umechagua timu imara kwenye Serikali yako. Nimefurahi kwamba pamoja na mashinikizo na fitina kuhusu Prof Muhongo na Prof Maghembe bado umewapa nafasi wakusaidie. Umetengeneza sifa nzuri kwamba maneno ya magazeti na mitandaoni hayasukumi uamuzi wako. Kuna ambao hawapendi kwamba baadhi ya watu wamo kwenye Serikali yako. Simama imara na timu yako, anayeharibu atolewe, anayesakamwa kwa fitina simama naye, utaijengea timu yako kujiamini katika kazi zao na watakufanyia kazi nzuri. Tusikubali kurudi kule kwenye miaka 10 iliyopita ambapo nchi ilipitia Mawaziri 121 kwasababu fitina ziliruhusiwa, na Mawaziri wakawa wanapukutishwa kila miezi sita. Unayo nafasi kubwa ya kuisaidia nchi kumaliza fitina kwenye siasa nchini kwa kuonyesha kwamba huchukui hatua kwa kufuata upepo, ambao zama hizi unatengenezwa mezani.
Nisamehe kama nimekukwaza kwa kutoa ushauri lakini mimi nimekupa kura yangu na ni mdau mkubwa wa kutaka Serikali yako ifanikiwe.
mpe za uso huyu dogojanja wa kwa mfuga mbw.aUlikuwa kijiwe gani wewe Mwandemele? Cruz-In? Acha undumilakuwili wako tumeishaku'note' usidhani watanzania ni wapumbavu kiasi unachowadhania. Na kama umesikia maelezo ya mtaliano sijui kama una la kusema kumhusu huyo Makamba.
Na kama unajua Magufuli uliyempa kura yako ni mtu wa haki una wasi wasi gani sasa si muache atende haki? na wakati huo huk na wewe uache ujanja wa kutumika humu JF.
Kwa taarifa yako humu JF vijana wa Magufuli wako kibao wamebana kila kona ya wachangiaji na watoa mada kwa hiyo mzee JPM anahabarishwa kila kinachoendelea na kwa kila dakika. Na hizi habari za Makamba anazo kibao zimeishajaza makablasha. Moja la barua, jingine la CD, moja la flash na hata la radio casseti na kuna la picha za video na mnato za Team January Makamba, kwa hiyo huu waraka wako ni wa marudio kwake labda watausoma wakata nyasi na wafagiaji wa uga wa ikulu na kuishia huko huko.
nimekuelewana sana mkuuKwa taarifa yako wasomi ndio wanaofanya hii kazi ya kutetea wahuni hapa jukwaani. Kumbuka wasomi wengi hawana ajira, na wengine wana matarajio makubwa kuliko uhalisia. Unatarajia nini msomi aliyepigika kimaisha akipewa dau la laki tano, anaweza akakesha hapa jukwaani tena wakati mwingine hata huyo aliyemuajiri inabidi amuombe akapumzike. Hii njaa iliyopo kwenye hii nchi hao watoto wa viongozi wanajua kuitumia vyema kulinda maslahi yao.
Ww hushangai mtoto mzazi wake kawa kiongoz, yeye kawa kiongozi lakini hathubutu kwenda kuanzisha shughuli yake binafsi na kuachia wengine nafasi watumikie taifa, kisa huko ndiko anakoweza kupata pesa kuilaini na kufanya apendacho, lakini ukiangalia rekodi yake ya utendaji mafanikio makubwa aliyonayo ni kuendekeza hila na kujisifia mambo yasiyo na tija kwa mwananchi wa kawaida.