Bomba la gesi toka Mtwara-Dar lipo na linatumika kwa 6% tu - ni kweli hatujamsikia Waziri akigusia pande hizo.Kwa nn wasijenge mitambo ya gas?
Hapo wanataka kuanzisha miradi ya jua na upepo ili ibume waje waseme kuna shida ya upepo na jua kwa hiyo wanarudi kwenye gasi. Ujinga mtupuBomba la gesi toka Mtwara-Dar lipo na linatumika kwa 6% tu - ni kweli hatujamsikia Waziri akigusia pande hizo.
Humjui aliyegeuza gia angani kwa mradi huo? Yule mtu kila mradi wa mtangulizi wake yeye aliona haina maana. Aendelee tu kuongoza MALAIKA huko.Kwa nini wasijenge mitambo ya gas?
Tumwombee aiseeHumjui aliyegeuza gia angani kwa mradi huo? Yule mtu kila mradi wa mtangulizi wake yeye aliona haina maana. Aendelee tu kuongoza MALAIKA huko.
Nadhani kaongelea habari za mwakani..Sikubaliani na Makamba kwa sababu kuongeza miradi mipya ni process sio swala la overnight..
Kwa hiyo Mgao uendelee Kisa kuogopa vimaneno vya kijinga vya wafitini wake? Hizo mgwt xaidi ya 300 unaweza zipata fasta kwenye upepo? Makamba acha ujinga na jifunze kusimamia unachokiamini sio kuyumbishwa na maneno ya wapuuzi..
Makamba anakosa kujiamini kwa vile anahangaika na mitandao,mitambo ya mafuta sio mipya na mikoa mingi tuu bado inatumia majenereta.Kwa hiyo tuendelee kutumia kwa Mgao Kisa unaogopa kusema wawashe mitambo ya mafuta?