January awasha moto wa katiba na kula kona, facebook

Mtu wa Aina hiyo ni mwoga na hafai kabisa kwenye Jukwaa la Siasa..!!..

Aige mifano ya Watu Kama John Mnyika na Steven Nyerere ambao tuko nao FB na wako makini sana ktk kuchangia mada na mawazo mbalimbali pindi wanapoanzisha au yanapoanzishwa na watu mbalimbali wenye mitazamo makini yenye kuweza kulipelekea Taifa na Wananchi wake ktk Maendeleo ya kweli..
 
Back
Top Bottom