Rich Woman
JF-Expert Member
- Dec 18, 2012
- 867
- 558
Ninamshukuru Muumba ulimwengu na vyote vilivyomo, vinavyoonekana na visivyoonekana.Tarehe kama hiyo hapo juu,mwaka fulani uliopita siku nyingi nilizaliwa,siku za kuishi zinaendelea kupungua.
Pia ninamuomba Yeye(Muumba ulimwengu na vyote vilivyomo, vinavyoonekana na visivyoonekana) atujaalie maisha mema, atuongoze katika njia iliyonyooka na atujaalie mwisho mwema. Aameen.
Kumbe tuna-share Mkuu. Hongera kwetu sie...
kitufe cha like kiko wapi......?
Hatimae nimempata pacha wangu. Thank u Lord!
Pamoja sana Mkuu.
CC: Heaven Sent
kwamtoro
Munkari plus mwallu and Lady doctor.
hongera..mie hata sijampata
Hadi leo bado hujampata?? Tarehe yako ni gani na mwezi...
7 August ma dia
Hatimae nimempata pacha wangu. Thank u Lord!
Pamoja sana Mkuu.
CC: Heaven Sent
kwamtoro
Munkari plus mwallu and Lady doctor.
siku yangu yakuzaliwa nitategesha leba