Happy birthday mkubwa. Nimekukosakosa, mie jana niliiona dunia. Lakini Mungu mkubwa, umezaliwa tarehe moja na brother wangu nayemfuata. HBA A Father, Happy birthday my bro Majala......:grouphug::grouphug::grouphug:Ninamshukuru Muumba ulimwengu na vyote vilivyomo, vinavyoonekana na visivyoonekana.Tarehe kama hiyo hapo juu,mwaka fulani uliopita siku nyingi nilizaliwa,siku za kuishi zinaendelea kupungua.
Pia ninamuomba Yeye(Muumba ulimwengu na vyote vilivyomo, vinavyoonekana na visivyoonekana) atujaalie maisha mema, atuongoze katika njia iliyonyooka na atujaalie mwisho mwema. Aameen.
Wana heri wote waliozaliwa January....Ni mwaka mwingine tena bado navuta pumzi ya uhai, idadi ya miaka niliyoishi humu duniani imeongezeka huku siku ya kuondoka nayo ikizidi kusogea.
Oh! Lord, grant us a good end of life. Aameen
CC: Arushaone
Zero One Two
watu8
Filipo
Baba V
manoah
Marry Hunbig
Dena Amsi
Rich woman
mpalu
Paloma
((Team January -
Mentor,
Babu Asprin,
Preta,
FirstLady1 - though still not sure,
cheeter,
viol,
mchajikobe,
pelani,
kufikirika,
Yegoo,
ngofa,
Angelicious,
leonk,
leencolman,
Benzoic,
Phenomenal,
Redrose20,
tycoonff,
mhimidinhothedon,
nkululeko,
la cezz,
Queen Kan,
St. Paka Mweusi ))
( Jawilat, LORDVILLE - watu wangu wa muhimu na ninaowapenda wengi ni wa Libra) plus others... (couldn't mention all)
Asprin .# Team January twenty kadhaa please niandalie sherehe kabisa kabisa maana naona na tarehe inanukia piga makofi tafadhari:A S-rose: