Jangwani Wamefurahi kimoyomoyo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jangwani Wamefurahi kimoyomoyo

Discussion in 'Sports' started by Mr Ambassador, Oct 4, 2012.

 1. Mr Ambassador

  Mr Ambassador Member

  #1
  Oct 4, 2012
  Joined: Sep 3, 2012
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Inaonyesha Yanga wamefurahi kimoyomoyo kukosekana kwa Okwi na Maftah laa sivyo wangekaa nne jana. Maana walishangilia vibaya mno.
   
 2. Anselm

  Anselm JF-Expert Member

  #2
  Oct 4, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 1,705
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Nonsense Ngalema alicheza vizuri kuliko hata amabavyo angecheza huyo Maftah wenu
   
 3. M

  Masuke JF-Expert Member

  #3
  Oct 4, 2012
  Joined: Feb 28, 2008
  Messages: 4,606
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160
  Ngalema ni mzuri sawa lakini tofauti na Maftah, Maftah anazuia na anapandisha timu kitu ambacho Ngalema hakuwa nacho jana.
   
 4. Bwana Mapesa

  Bwana Mapesa JF-Expert Member

  #4
  Oct 7, 2012
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 1,925
  Likes Received: 660
  Trophy Points: 280
  Walianza kushangilia tokea siku aliyotolewa kwa kadi nyekundu.
   
 5. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #5
  Oct 7, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Ngalema alicheza vizuri, lakini nakubali Okwi pengo lake lilionekana.
   
 6. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #6
  Oct 7, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Mie nimefurahi maana simba 11 ukiongeza mwamuzi na line 2 dhidi ya 10 wa Yanga ...si mchezo.
   
Loading...