Mr Ambassador
Member
- Sep 3, 2012
- 13
- 2
Inaonyesha Yanga wamefurahi kimoyomoyo kukosekana kwa Okwi na Maftah laa sivyo wangekaa nne jana. Maana walishangilia vibaya mno.
Ngalema ni mzuri sawa lakini tofauti na Maftah, Maftah anazuia na anapandisha timu kitu ambacho Ngalema hakuwa nacho jana.Nonsense Ngalema alicheza vizuri kuliko hata amabavyo angecheza huyo Maftah wenu
Ngalema ni mzuri sawa lakini tofauti na Maftah, Maftah anazuia na anapandisha timu kitu ambacho Ngalema hakuwa nacho jana.
Inaonyesha Yanga wamefurahi kimoyomoyo kukosekana kwa Okwi na Maftah laa sivyo wangekaa nne jana. Maana walishangilia vibaya mno.