Janga lingine kwa ATCL, yaamuliwa na Mahakama ya Uingereza kulipa dola milioni 40

Walipe tu, walidai hilo shirika linatengeneza faida. Dawa ya deni ni kulipa tu. No magic formula to avoid liability.
 
Hivi huwa hamjioni kuwa mna utindio wa akili. Let me assure you, hata mkipata ridhaa ya kuongoza nchi, hawa CCM watawafanyia mnayofanya sasa. Angalia sana, nia ya mageuzi iwe ni kukosoa watawala ili nchi isonge mbele isiwe upinzani wa kila jambo. Unafurahi as if si nchi yako?
Wewe usidanganye watu, hili tunaliona kote hata US, UK kote huko upinzani haujawahi kuunga mkono chama kilicho madarakani.

Labda hufuatilii siasa za kimataifa, umezoea hizi siasa local za kutekana au labda hauna "Exposure".
 
Biashara ni weledi, ni mbinu, ni uwezo wa kuona kabla ya kutokea. Ukikosa hivyo, unaweza kuwa unahangaika na kutoa jasho jingi sana lakini ukaishia kutopata chochote au unachokipata, kikawa kinachukuliwa na wenye akili.

Tanzania imekosa weledi. Tinapambana kwa kutumia nguvu badala ya akili na weledi.
 
Wewe usidanganye watu, hili tunaliona kote hata US, UK kote huko upinzani haujawahi kuunga mkono chama kilicho madarakani.

Labda hufuatilii siasa za kimataifa, umezoea hizi siasa local za kutekana au labda hauna "Exposure".
Ulishaona marekani wanajeshi wakiuawa upinzani unashangilia? Usilolijua si ajabu tumeishi huko
 
Kwanini awamu ya tano iliamua kukataa kumlipa huyo aliyekodisha hiyo ndege?

Kila inalogusa hii awamu linaoza. Sijui wamepigwa na laana ya aina gani hawa viumbe wanawamu hii.
 
Tutatoka tu, hamna namna.

Taifa langu tanzania litasimama tu, binasi siwezi furahia hili janga maana linanigusa mimi kama mwananchi.

Haijalishi kuna mtu kazembea au kapiga hizi pesa, ila tujue tu tunazirudisha wote kwa pamoja...sio viongozi wa awamu ya nne wala ya tano, bali ni janga letu wote!!

Kikubwa ni kuamka tu na kufanya maamuzi magumu maana majanga kama haya hayataisha kwa sababu tusipopata watu sahihi tutaendelea kuchagua wachumia tumbo wenye kupenda na kulewa madaraka.
 
Kwahiyo hizo tulipe tu na kuendelea kuwakenulia meno na kuwaimbia mapambio wanaoharibu nchi?
 
CCM imeipa Tanzania madeni ya kudumu, hadi vitukuu vinakuja kuyakuta haya.
 
Umesahau marekani polisi wanavyoua weusi?

..unazungumzia askari mweupe kumuua raia mweusi.

..shida hapo ni historia ya marekani ya utumwa na ubaguzi.

..hapa Tz kwanini tunaumizana weusi / waafrika / watanzania wenyewe kwa wenyewe?

NB.

..wamarekani wanajitahidi kuchukua hatua. Askari akumiza au akiuwa raia kesi ya jinai au madai hufunguliwa. Na vyombo vya habari vimekuwa mstari wa mbele kuripoti na kukemea matukio hayo.
 
..kuna viongozi walisema ndani ya bunge kwamba serikali haiogopi kushtakiwa miga au mahakama zozote za nje.

..matokeo ya serikali kujimwamba-fy ndiyo haya makesi yasiyokwisha huko nje.
 
Back
Top Bottom