Janga jipya: Mashine za wachina

Janga jipya: Mashine za wachina

Tujadil hili..kumekua na ongezeko la machine za wachina seemu mbalimbali mitaani husasan mjini DSM (cjui mikoan)..machine hizi ni zile za kuweka coin za miambili..tulizoea hizi kua seemu za staree ambapo si rahis kwa watoto kufika lakin ss zimetapakaa Karbu Kila Kona Na wachezaj wakubwa ni watoto chini ya miak18 kinyume Na katakwa ya sheria.je vyombo husika awalioni hili?? Hata Kama Kodi Basi tutazakisha taifa lijalo la wakamaria tuu.tukianza na beting machine,biko,tatu mzuka NK.serikali ilifanyie kazi hili.View attachment 854345

Sent using Jamii Forums mobile app
sie tupo bize kuangalia kama kodi inalipwa tu hayo madhara huko mtaani mtajua wenyewe
 
Write your reply...Kwa jinsi maisha yalivyo magumu kutokana na ukosefu wa ajira na pesa kutoweka mitaani.Vijana wengi wanaishi kwa matumaini wakitegemea betting,tatu mzuka,biko na hayo madubwidubwi.Kifupi kamari imekua matumaini kwa vijana wengi wenye uelewa mdogo.Ni kama muathirika wa ukimwi na ARV.
 
Hatari sana .kweli kuna Kodi inapatikana lakin lazima tujue kuna idadi kubwa ya watu wanaangamia na je taifa letu litakua la Aina gan in future.so no way haya madude yawekwe seemu husika ambazo watot hawez kufika tafaut Na ilivyo Sasa yani vitu vpo Kila mahal.na hakuna udhibit

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa jiji la mbeya naona hizo machine zimezagaa sana.....kuna vijana flani hivi wa kichina wanatembelea gari nyeusi unawakuta wapo ndani ya gari na mmbongo mmoja ndo anawazungusha mitaa yote kukusanya mapato yao walipo zifunga hizo machine.......sidhani hata kama kodi wanalipa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
For sure people are not serious, ndio maana raia eanapiga kelele kuhusu Biko na Tatu mzuka but no one cares!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani mkuu unakuta mtu tena BIKO au TATU MZUKA inatangazwa serious news hours tangazo kabla ya Taarifa ya habar na mwisho, yaani huwa nabadili channel kwa kukereka.
Sijaona VOA, CNN au BBC news wanawake matangazo ya beting kama TBC yetu. Ni Masikitiko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huku kwetu hilo dude linaitwa bonanza nalipenda sana nilikuwanalo kila wiki lilikuwa linanipa commission ya shilingi 70'000 akija machina. Mi mtaji wangu kulipia tu kodi ya eneo na kununua token. Sema wabongo wakaona nafaidi wakaiba


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom