Nyie ndio mnaoifanya hii nchi iwe hapa ilipo.....gama na mwenzie komba wako kwenye hatari ya kufa any time kwa mujibu wa afya zao.....mimi siko kama wao..and i'll never be like em..never.....siwezi kuwa mlafi mpaka nikafikia huko....najali afya yangu..nakula mlo kamili..sibugii bugii hovyo arifu......suala la kufa mapema sio ishu....kuna mambo mengi ya kidunia lakini siwezi kufa kifo cha kujitakia cha kuwa mlafi kama kitakachowatokea komba na gama......
Obesity ipo sana tz.....style ya maisha ya nyie wasomi mnaiga ya majuu....
--chakula mna shoop shoprite kilichokaa kwebnye friji mwezi mzima....ukishakuwa msomi huwezi kununua chakula sokoni bana....hautaeleweka kwa level yako..lazima uvae buktaa kubwaa ya puma raba ya adidas na tshirt ya sean john unaingia mlimani city ku shop kwa madaa huku umening'iniza funguo za Verossa kwenye ruksi ya kaptula yako......
na ukiwa hapo vitu kama ice cream,pop corn lazima uwe unakula kidogo uku ukishop bana......mwisho unamalizia samaki samaki kupoza koo na bia.....
siku hizi kijana under 30 kibao wanene kupita maelezo....pole sana arifu.....
ndugu yangu waweza kuwa sahihi kabisa ila 'do a right thing at a right time and place'hakuna mtu anayejitakia kufa rafiki,huenda ata uo unene wake ni wakurithi na alikuwa anafanya mazoezi.usijudge kifo cha mtu maana wote hatujui kwa nini alipata iyo heart attack,ungekuwa sio 'yo yo' ungeanzisha uzi wako ukielimisha watu wote khs umuhimu wa kufanya mazoezi,kuliko huu uchekechea unaoandika usio kuwa na mbele wala nyuma,usipende kuwatabiria watu kifo,waweza kufa uwaache,hapa sio sehemu ya kuelezea uzinzi wa komba!! Andika uzi wako uelezee,apa tunapeana pole khs kifo cha dada yetu jane na kumuombea thats all
Duuh!! aiseeee alikuwa bonge! RIPR.I.P Jane......
Huyu bwana Yo Yo anachafua hali ya hewa hata kwenye huzuni jamani? Come on tuwe wastaarabu.
Mimi nilitegemea mniunge mkono kwa kuweka angalizo kwa sisi tuiobakia......hivi vifo vya ghafla vinaweza kuepukika....haya ndio nyie marehemu kafa na ukimwi mnasema kafa kwa kisukari....na makaburini kafa mwizi/mla rushwa,mzinzi,mshirikina mnasema Mungu amlaze mahala pepa peponi....mna utani na Mwenyezi Mungu nyie.....dada Jane kweli katutangulia lakini nasisitiza na sisi tuwe waangalifu na milo yetu.....ili tuepukane.....ndugu yangu waweza kuwa sahihi kabisa ila 'do a right thing at a right time and place'hakuna mtu anayejitakia kufa rafiki,huenda ata uo unene wake ni wakurithi na alikuwa anafanya mazoezi.usijudge kifo cha mtu maana wote hatujui kwa nini alipata iyo heart attack,ungekuwa sio 'yo yo' ungeanzisha uzi wako ukielimisha watu wote khs umuhimu wa kufanya mazoezi,kuliko huu uchekechea unaoandika usio kuwa na mbele wala nyuma,usipende kuwatabiria watu kifo,waweza kufa uwaache,hapa sio sehemu ya kuelezea uzinzi wa komba!! Andika uzi wako uelezee,apa tunapeana pole khs kifo cha dada yetu jane na kumuombea thats all
Mimi nilitegemea mniunge mkono kwa kuweka angalizo kwa sisi tuiobakia......hivi vifo vya ghafla vinaweza kuepukika....haya ndio nyie marehemu kafa na ukimwi mnasema kafa kwa kisukari....na makaburini kafa mwizi/mla rushwa,mzinzi,mshirikina mnasema Mungu amlaze mahala pepa peponi....mna utani na Mwenyezi Mungu nyie.....dada Jane kweli katutangulia lakini nasisitiza na sisi tuwe waangalifu na milo yetu.....ili tuepukane.....
siwezi kusema apumzike kwa amani maana imani yangu inaniambia mtu akisha kufa roho yake itahukumiwa kutokana na matendo yake......Mungu mwenyewe ndio anajua wapi atamuweka.....
Unahitaji Maombi Yo Yo!
Dada yetu Mpendwa Jane Mponzi aliyewahi kufanya kazi VODACOM amefariki dunia ghafla jana asubuhi,Ndugu wa karibu wamesema alipatwa na "Heart attack" Jane aliolewa na Herry Makange (Marehemu) aliyekuwa Channel 10 na alifariki kwa ajali ya Boda boda Tegeta. Msiba upo Oysterbay Barabara ya Msasani Baada ya Jackies Bar unaingia mtaa wa kulia kabla ya kile kilima maarufu. MUNGU AIWEKE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI AMEN!
Natumaini naye aliwahi kuwa MwanaJF kwani alikuwa mtu wa Mtandao.