Jane Mponzi wa Vodacom is no more!

hii picha nimeiona muda huu kipindi cha bangi. Akapumzike kwa amani
 

We Mungu au mwanga?
 

'Chingreza' lugha ya 3. Chingreza wito mpe tuisheni siku nyingine.

RIP Jane.
 

"Utashangaa" utakapokufa wewe kabla yao na hiyo milo yako mizuri! We vipi? Si ufungue thread yako ya mafunzo kuhusu mazoezi na mlo bora?
 
Kama ulivyo nami nilikuwa
Kama nilivyo nawe utakuwa
Mungu aiweke roho yake mahali pema peponi.
 

RIP Jane Mponzi
 
Mdogo wangu Jane sikuamini hadi nilivyofika jana asubuhi hapo kwenu,nakumbuka matukio mengi tukiwa pamoja i mean Arusha n Dar.Mungu wetu ni wa huruma sana akusamehe makosa yako upumzike kwa amani.
 
tuzitazame afya zetu,tuzingatie kufanya mazoezi.

RIP DA JANE.....!
 
RIP Jane,

Kama kuna mtu anajua ID yake ya JF atujuvye...Ni muhimu sana ili tusije kuanzisha thread za kumtafuta wakati Mungu keshamwita kwake!

Naomba please....wanaofahamu au Max watusaidie
 

Unaweza ukatangulia wewe kufa Komba na Gama wakaendelea kula maisha
 
Unaweza ukatangulia wewe kufa Komba na Gama wakaendelea kula maisha
Nyie ndio mnaoifanya hii nchi iwe hapa ilipo.....gama na mwenzie komba wako kwenye hatari ya kufa any time kwa mujibu wa afya zao.....mimi siko kama wao..and i'll never be like em..never.....siwezi kuwa mlafi mpaka nikafikia huko....najali afya yangu..nakula mlo kamili..sibugii bugii hovyo arifu......suala la kufa mapema sio ishu....kuna mambo mengi ya kidunia lakini siwezi kufa kifo cha kujitakia cha kuwa mlafi kama kitakachowatokea komba na gama......
Obesity Tanzania???? Do u real mean what u are saying au umekariri tu!!! Hapa vitu vyote organic(Tena sio tu organic, but natural kutoka shamba lisilotiwa hata mbolea) mkuu unatoa wapi Obesity katika nchi kama hii???
Obesity ipo sana tz.....style ya maisha ya nyie wasomi mnaiga ya majuu....
--chakula mna shoop shoprite kilichokaa kwebnye friji mwezi mzima....ukishakuwa msomi huwezi kununua chakula sokoni bana....hautaeleweka kwa level yako..lazima uvae buktaa kubwaa ya puma raba ya adidas na tshirt ya sean john unaingia mlimani city ku shop kwa madaa huku umening'iniza funguo za Verossa kwenye ruksi ya kaptula yako......
na ukiwa hapo vitu kama ice cream,pop corn lazima uwe unakula kidogo uku ukishop bana......mwisho unamalizia samaki samaki kupoza koo na bia.....

siku hizi kijana under 30 kibao wanene kupita maelezo....pole sana arifu.....
 
R.I.P my friend.....Raha ya milele umpe ee bwana na mwanga wa milele umuangazie apumzike kwa amani, Amina. Naona baada ya last respects ndio nitaamini maana bado sijaikubali daaaah ngumu sana. Ee Mungu wetu tunakuomba ukawatie nguvu familia yake ktk kipindi hiki kigumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…