Jana wala sikuwepo nyumbanihahahahaha

Jana wala sikuwepo nyumbanihahahahaha

heaven on desert

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2013
Posts
1,025
Reaction score
393
JIRANI: Hoyaa Devi wakati uko faragha na
mkeo uwe unafunga mapazia, jana usiku
mtaa mzima tulikuwa tunakucheka
ulipokuwa na mkeo
DEVI: Hahahahahaha nyie ndio
mnachekesha, jana wala mie sikuwepo
nyumbani hahahahahahat
 
Hahahaaah....! Jamaa ----- kweli anatafuniwa mke...
 
Hata hivo siku hizi afadhali sababu angalau kuna cost sharing kuliko zamani watu tuli share resources tu tukasahau gharama,atakuwa aliacha hata mboga au vocha!
 
Haha I like u devi u don't care kabisa kweli wajinga ndo waliwao

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom