KIDUNDULIMA
JF-Expert Member
- Aug 18, 2010
- 966
- 538
Chezo unatania hukuwa wewe maana jamaa thanks alizopatiwa zilikuwa zinafika 300 na kitu
page alikuwa ameipandisha kidogo hivyo avitar na username vilikuwa havionekaniss uliwezaje kuona thanks ambazo ni herufi ndogo ushindwe kuona id ambayo ni herufi kubwa na bold kwa sana ila si kitu next time ucjifiche umwonapa mwana jf mwenzako me nimewai kuonana na 2 tu mpaka ss ninahamu ya kuonana na kufahamiana na wengi humu
nitumie maana nimeshakuwa tomaso mpaka nione picha ndo nitaaminini mimi live ...ntaku PM nikutumie picha yangu uone kama sikuwa mimi
Vp mkuu, hujiamini? Sasa mlikuwa mnaongea nn dar mpaka moro!...au mliuchubua kila mtu kivyake?
Kitu cha kwanza unappogundua jamaa ni wa kwenu unajitambulisha, automatically na yeye atajitambulisha, katika mazungumzo mnajuana interest zenu, mnakuja kugundua kuwa wote ni wana JF, mnabadilishana namba za simu, na huo ndiyo mwanzo wa kufahamiana! Humu ndani najuana na jamaa wawili tu, ni watu wazuri sana tu!
huyo alikuwa ni Guest anasoma topic ya MM
Vp mkuu, hujiamini? Sasa mlikuwa mnaongea nn dar mpaka moro!...au mliuchubua kila mtu kivyake?
Kitu cha kwanza unappogundua jamaa ni wa kwenu unajitambulisha, automatically na yeye atajitambulisha, katika mazungumzo mnajuana interest zenu, mnakuja kugundua kuwa wote ni wana JF, mnabadilishana namba za simu, na huo ndiyo mwanzo wa kufahamiana! Humu ndani najuana na jamaa wawili tu, ni watu wazuri sana tu!
Nimejifunza kitu - wanaJF WA UKWELI wana upendo. Asanteni sana kwa kumsaidia huyo aliyeibiwa. Nimeona hata misaada na michango ya hali na mali inayotolewa hapa inaonyesha upendo wa dhati walionao wana JF. Mungu akubarikini.