Jana uso kwa uso na mwana JF kwenye basi

KIDUNDULIMA

JF-Expert Member
Aug 18, 2010
966
536
Jana kwa mara ya kwanza nilibahatika kupanda basi moja na mwana JF. Niligundua kuwa ni mwana JF pale ambambo alipokuwa anatumia laptop yake na kuaccess internet. Nilipochungulia niliona ana access mtandao wa JF ingawa user name yake sikuiona. Kilichonishangaza sana ni kuwa kabla ya kujua kuwa ni mwan JF wote wawili (mimi na yeye) tulijitolea kumsaidia jamaa mmoja aliyekuwa ameibiwa pesa hivyo kukosa nauli. Bahati mbaya sana sikutaka kureveal my true identity mbele yake kutokana na nafasi yangu katika JMT. Pamoja na kuwa tulisalimiana hakuna majadiliano zaidi yaliyofanyika kuhusu JF.

Hayo ndiyo yaliyotokea saa 12.30 jioni wakati naelekea Moro kwa basi la Hood.
 
hahaa kumbe ni wewe safi sana ..usihangike ni mimi ndugu yangu..
 
hahahaa Chezo kumbe ulikuwa ni wewe? Natumai tukikutana kesho huwezi kunitambua
 
Chezo unatania hukuwa wewe maana jamaa thanks alizopatiwa zilikuwa zinafika 300 na kitu
 
ss uliwezaje kuona thanks ambazo ni herufi ndogo ushindwe kuona id ambayo ni herufi kubwa na bold kwa sana ila si kitu next time ucjifiche umwonapa mwana jf mwenzako me nimewai kuonana na 2 tu mpaka ss ninahamu ya kuonana na kufahamiana na wengi humu
 
ni mimi live ...ntaku PM nikutumie picha yangu uone kama sikuwa mimi
 
ss uliwezaje kuona thanks ambazo ni herufi ndogo ushindwe kuona id ambayo ni herufi kubwa na bold kwa sana ila si kitu next time ucjifiche umwonapa mwana jf mwenzako me nimewai kuonana na 2 tu mpaka ss ninahamu ya kuonana na kufahamiana na wengi humu
page alikuwa ameipandisha kidogo hivyo avitar na username vilikuwa havionekani
 
Nimejifunza kitu - wanaJF WA UKWELI wana upendo. Asanteni sana kwa kumsaidia huyo aliyeibiwa. Nimeona hata misaada na michango ya hali na mali inayotolewa hapa inaonyesha upendo wa dhati walionao wana JF. Mungu akubarikini.
 
Vp mkuu, hujiamini? Sasa mlikuwa mnaongea nn dar mpaka moro!...au mliuchubua kila mtu kivyake?
Kitu cha kwanza unappogundua jamaa ni wa kwenu unajitambulisha, automatically na yeye atajitambulisha, katika mazungumzo mnajuana interest zenu, mnakuja kugundua kuwa wote ni wana JF, mnabadilishana namba za simu, na huo ndiyo mwanzo wa kufahamiana! Humu ndani najuana na jamaa wawili tu, ni watu wazuri sana tu!
 
That's interesting. Kuna mwana-JF mmoja tunafanya naye kazi ofisi moja, halafu kuna siku akaja mezani kwangu nikiwa nime-log in kwenye JF akachungulia na kugundua ID yangu akacheka sana. Akasema du! Hizi ID za JF zinaficha mengi kweli.
 
Vp mkuu, hujiamini? Sasa mlikuwa mnaongea nn dar mpaka moro!...au mliuchubua kila mtu kivyake?
Kitu cha kwanza unappogundua jamaa ni wa kwenu unajitambulisha, automatically na yeye atajitambulisha, katika mazungumzo mnajuana interest zenu, mnakuja kugundua kuwa wote ni wana JF, mnabadilishana namba za simu, na huo ndiyo mwanzo wa kufahamiana! Humu ndani najuana na jamaa wawili tu, ni watu wazuri sana tu!

Kama nilivyosema nafasi yangu kwenye JMT ni ya muhimu ingawa naendeleza mpambano zidi yake. Si unajua sheria za utumishi wa umma jinsi zinavyobana pindi ukimsema vibaya mwajiri wako?
 
Vp mkuu, hujiamini? Sasa mlikuwa mnaongea nn dar mpaka moro!...au mliuchubua kila mtu kivyake?
Kitu cha kwanza unappogundua jamaa ni wa kwenu unajitambulisha, automatically na yeye atajitambulisha, katika mazungumzo mnajuana interest zenu, mnakuja kugundua kuwa wote ni wana JF, mnabadilishana namba za simu, na huo ndiyo mwanzo wa kufahamiana! Humu ndani najuana na jamaa wawili tu, ni watu wazuri sana tu!

kweli kabisa naomba na me niwe wa 3 kati ya hao 2 kwani na me nawajua 2 tu na niwazuri tu
 
Nimejifunza kitu - wanaJF WA UKWELI wana upendo. Asanteni sana kwa kumsaidia huyo aliyeibiwa. Nimeona hata misaada na michango ya hali na mali inayotolewa hapa inaonyesha upendo wa dhati walionao wana JF. Mungu akubarikini.

humu kuna watu walostarabika sana
 
kama kweli ni nyie kumbukeni stori ilotokea dar mpaka moro mtajuana tu
 
ukweli ni wengi sna tunaonana kny usafiri wetu kafiri mkuu wangu chezo na kidundulima hasa kny hizi cmu zetu za cku hizi with internet try to check utakubaliana nami.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom