Jana usiku nililirusha mwenyewe

wa stendi

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
26,597
Reaction score
29,530
Yaani nilifikiria kula kwa kibanda umiza nikaona wacha ninunue yai 2 na nyanya za jero na unga nusu na robo nikaliamsha dona la maana na mboga ile ya yai mchanganyiko na nyanya aisee lilishuka hatari. Kuwa single raha sana vijana msikimbilie maisha hali saa hivi ni ngumu
 
Mzee baba unaishi stoo ๐Ÿ˜€ ๐Ÿ˜€
 

Aliyeelewa anamaanisha nini anisaidie maana sijamwelewa mtoa mada kabisa
 
Maisha ya usingle Yana Raha sana..mie nikiona tambi,sausage na macaroni nakumbukia usingle life! Lakini maisha ya familia lazima maharage yawepo๐Ÿ˜–๐Ÿ˜–! Mara wali๐Ÿคธ๐Ÿคธ! Ah
 
Mkuu hicho kitanda unalalaje maana upande wa kichwa kunaonekana kunabonyea! Hivyo ukilala kiwiliwili kinakuwa juu kichwa kinakimbilia chini๐Ÿ˜…
Huoni huo ndo mwanzo wa ndoto za mizumi au ndo tuseme daraja la mfugale..๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ