chai ya rangi
JF-Expert Member
- Mar 7, 2026
- 1,038
- 3,081
shem lipa madeni ya watu 😄katika pitapita zangu jana kuna mtu nilimuona nikasema mbona yule ni kama mimi, alikua yupo kwa mbali ilibidi nimsogelee ili kumuona vizuri,
lakini nilivomsogelea nikamkuta sijamfananisha alikua mimi kabisa nimekaa pale, nguo alizovaa zinafanana na zangu kasoro viatu ndo tofauti,
ikabidi nimsalimie pia sauti yake ilikua ni kama ya kwangu kabisa nikamuuliza na jina ni la kwangu,
baada ya kumuuliza mambo mengi nikagundua huyu ni mimi lakini nilishapata hofu inakuaje nijikute tena huku ?
nikajiacha pale nikarudi home kwa sababu nilikua nawaza sana, nahisi kama wewe ungejikuta sehemu ungeota wiki nzima lakini mimi sikuota na baadae nilichukulia kawaida leo nikarudi pale ila sijajikuta.
nitakua narudi pale mara kwa mara kuona kama nitajikuta tena sehemu hiyo
ila kuna zaidi ya kufanana kwa sababu unajikuta umekaa sehemu na unajisalimiaKawaida sana mkuu,kuna watu tumefanana nao sana
yaani nilijikuta kunasehemu nime chill na nikajisalimiaUnasema baada ya kusogelea kioo kwa ukaribu ndiyo ukajiona vizuri
Ila Leo umerudi tena hujajiona umejaribu kuwasha taa hapo ulipo itakuwa Leo kuna Giza
Basi kama ni hivyo mkuu kuna member hapo juu kakupa ushauri wa kulipa madeni ufanyie kaziyaani nilijikuta kunasehemu nime chill na nikajisalimia
Huu ndio ubaya wa kuvuta makushabu makaburini full kudataIkabidi nimsalimie pia sauti yake ilikua ni kama ya kwangu kabisa nikamuuliza na jina ni la kwangu,
Ripoti ya Chande & the gang ni kiboko!Hukujipa hata hela ya togwa ili kuzuia sonona?Katika pitapita zangu jana kuna mtu nilimuona nikasema mbona yule ni kama mimi, alikua yupo kwa mbali ilibidi nimsogelee ili kumuona vizuri,
Lakini nilivomsogelea nikamkuta sijamfananisha alikua mimi kabisa nimekaa pale, nguo alizovaa zinafanana na zangu kasoro viatu ndo tofauti,
Ikabidi nimsalimie pia sauti yake ilikua ni kama ya kwangu kabisa nikamuuliza na jina ni la kwangu,
Baada ya kumuuliza mambo mengi nikagundua huyu ni mimi lakini nilishapata hofu inakuaje nijikute tena huku ?
Nikajiacha pale nikarudi home kwa sababu nilikua nawaza sana, nahisi kama wewe ungejikuta sehemu ungeota wiki nzima lakini mimi sikuota na baadae nilichukulia kawaida leo nikarudi pale ila sijajikuta.
Nitakua narudi pale mara kwa mara kuona kama nitajikuta tena sehemu hiyo
Umevuta zako bangi ndani ya msikiti mashekhe wakaona sio kesi acha wakutunuki jini mmoja akufundishe kunyamazahakun mtu asiye na pacha na kama yupo huyo sio mwanadamu atakuwa mzimu
Hivi,yanaambukizwaje?Kuangaliana?Hewa?Kugusana?Je,barakoa zitasaidia?Magonjwa ya akili yanaenea kwa kasi sana