Jana nienda saloon kunyoa.....

Kuna blazameni nikuta mdadi umempanda hadi anaunguruma utadhani yuko kwenye game kabisa!
we huwa pale unaishiwa ujanja kabisa,yaani utaalam wanaotumia aisee kwa mpenzi wako huwezi pata
 
Halafu ukivitolea nje vinamindi kishenzi! Sasa unajua mablazameni wengi huwa tuna kaaibu ka kuwaudhi mademu hasa wazuri.

aisee niliokutana nao huwa sometimes hawamind,ila nadhani mi nitampeleka mtu angaza kwanza aise
 
Kuanzia kesho marufuku kwenda kunyoa saloon ntakuwa napitisha wembe kichwa kizima masaji nnayokufanyia huridhiki nayo! lol una kiranga sasa wewe.

Baby uwe unajitahidi jamani,utazidiwa,huwa naenjoy nikienda kunyoa ila kukusaliti roho inauma
 
Sio siri kina dada wale wanaijua kazi yao... ila hilo la kusema wanakutekenya,nadhani inategemea na sehemu tata kwa mhusika ni zipi... Mimi masikio si sehemu tata kwangu...
Sana sana wana wanatumia uwezo walio nao kukufanya uende tena salon yao..

So ladies msiwe na mapresha kiasi hicho..
 
Kwa vituko alivyonifanyia yule binti anayepashwa kunisafosha kichwa tu sasa naamini wanaume wengi sasa hivi salooni wanafuata mambo tofauti na kunyolewa. Hawa wake zetu wangejua yanayojiri huko saloon walahi mwenye uchungu na mzigo wake asingeuacha utinge hizi saloon alone.

"Kaka kaa hapa. Unafanya skraibu?" (Sijui ndo nini)
"Hapana, naosha kichwa tu." Halafu ukimwangalia analipaaa! Na mapozi ya kichokozi kibao!
Mara kang'ata kidole, kaanza kunipapasa kuanzia mabegani, shingoni hadi kaingiza vidole kwenye masikio yangu. "Ungefanya skraibu tu kaka, ona mafuta yalivyomengi kwenye pua." kanishika pua ananikamuakamua........

Mablazameni najua mnazijua hizi lugha, ebu tupeni mapana na marefu ya huma kwenye saloon zetu. Huwa zinawakera au zinawafurahisha?

Mkuu, unaweza kushtukia 'Loketo' ananyanyuka taratiiiiiibu kunako suruali! Wacha bana!
 
Last week nilikuwa Arusha kuna salon nikapelekwa maeneo ya sakina!kuna kabinti kanafanya massage hako watu wanajipigia mumo kwa mumo!katoto keupe kamelainika keupe ila huyo man alinialert kama katoto kameumia halafu ndo kanagawa kama pipi!..na kile kichumba huwezi zama na ndomu labda uwe mwenyeji sana!
 
hapo sasa, starehe ya muda mfupi inavyogharimu maisha!
 
We unafikiri hao wako kwaajili ya kukuosha kichwa na kukufanyia scrub tu, wako kazini pia, kutafuta mabuzi na wala sio boyfriend au husband hasa, kuna salon moja ya kiume mitaa ya home, hao wadada wanaoajiriwa kuosha wateja vichwa, scrub, wana mawowowo mpaka basi, na hizi sehemu za massage siku hizi ndio usisema, nasikia ni kama madanguro tu humo ndani!
Kwa vituko alivyonifanyia yule binti anayepashwa kunisafosha kichwa tu sasa naamini wanaume wengi sasa hivi salooni wanafuata mambo tofauti na kunyolewa. Hawa wake zetu wangejua yanayojiri huko saloon walahi mwenye uchungu na mzigo wake asingeuacha utinge hizi saloon alone.

"Kaka kaa hapa. Unafanya skraibu?" (Sijui ndo nini)
"Hapana, naosha kichwa tu." Halafu ukimwangalia analipaaa! Na mapozi ya kichokozi kibao!
Mara kang'ata kidole, kaanza kunipapasa kuanzia mabegani, shingoni hadi kaingiza vidole kwenye masikio yangu. "Ungefanya skraibu tu kaka, ona mafuta yalivyomengi kwenye pua." kanishika pua ananikamuakamua........

Mablazameni najua mnazijua hizi lugha, ebu tupeni mapana na marefu ya huma kwenye saloon zetu. Huwa zinawakera au zinawafurahisha?
 
We unafikiri hao wako kwaajili ya kukuosha kichwa na kukufanyia scrub tu, wako kazini pia, kutafuta mabuzi na wala sio boyfriend au husband hasa, kuna salon moja ya kiume mitaa ya home, hao wadada wanaoajiriwa kuosha wateja vichwa, scrub, wana mawowowo mpaka basi, na hizi sehemu za massage siku hizi ndio usisema, nasikia ni kama madanguro tu humo ndani!
Yallah!
 
Ee bhana huwa ni bonge la raha we acha tu,hiyo skraibu sasa akianza mbona utaenjoy,ile tu anakupeleka kwenye chumba ndogo anakuuliza kama kuna huduma zingine unataka,aisee kwanza kuanzia huko mabegani,shingoni,unajikuta unasinzia aisee kitu ambacho hata sijafanyiwa na gf wangu

Hapo ndo mnapokosea....share this with ur gurlfriend utashangaa atakavyokufanyia hayo na zaidi...mnaishia kuvitafuta sehemu zisizo na kujipalia makaa...ukimwambia patner wako kuwa una-enjoy mambo km hayo nakwambia hatakubali mtu mwibgine akufanyie,atafanya mwenyewe...for example wa ubani wangu aliniambia anapenda kufanyiwa pedicure and manicure so nikanunua vifaa nikafunzia kwa miguu na mikono yake...na sasa nimeshahitimu and he looks forward for those sessions....
 
mmh...wananunaga sana...ili kukata mzizi wa fitna nilijifunza kunyoa na mashine nkanunua....na facial products tunashare.....

Safi sana..!!!ikihitajika shurti ujifunze ku-multi task....kinyozi wewe,manicurist wewe,massage expert wewe....then if shit happens you will look back and say"at least i tried"
 
Kwa vituko alivyonifanyia yule binti anayepashwa kunisafosha kichwa tu sasa naamini wanaume wengi sasa hivi salooni wanafuata mambo tofauti na kunyolewa. Hawa wake zetu wangejua yanayojiri huko saloon walahi mwenye uchungu na mzigo wake asingeuacha utinge hizi saloon alone.

"Kaka kaa hapa. Unafanya skraibu?" (Sijui ndo nini)
"Hapana, naosha kichwa tu." Halafu ukimwangalia analipaaa! Na mapozi ya kichokozi kibao!
Mara kang'ata kidole, kaanza kunipapasa kuanzia mabegani, shingoni hadi kaingiza vidole kwenye masikio yangu. "Ungefanya skraibu tu kaka, ona mafuta yalivyomengi kwenye pua." kanishika pua ananikamuakamua........

Mablazameni najua mnazijua hizi lugha, ebu tupeni mapana na marefu ya huma kwenye saloon zetu. Huwa zinawakera au zinawafurahisha?

wewe umeenda na mawazo mawili mawili ndiyo maana,unatakiwa unamwambia nimekuja kufanya abcd hayo mengine sijayapangilia,ila ukifika ukaanza kufikiria na mambo mengine hizo nistarehe zako
 
Mkuu, unaweza kushtukia 'Loketo' ananyanyuka taratiiiiiibu kunako suruali! Wacha bana!

Kuna siku nakatisha zangu mitaa ya Tabata nikaona salon gafla nywele zikanitekenya nikapaki, nikaomba huduma. Ee bwana yule mtoto aliyenioshaaaa! Mtoto mbichi hapo juu ndiyo keshafika saa tano na nusu tu afu kavaa kichokozi ile noma: kasinglendi fulani hivi kako loose, akiinama inama kunifuta futa vimaji hivi wallah mambo hadharani hadi kwenye kitovu! Hawa watoto wanatupaga shida sisi wanaume! Afu siku yenyewe nilikuwa nimevaa sarawili tighty tighty hivi. Ilinibidi baada ya huduma nivute kiti afu nivunge nijibu jibu sms kumbe na-buy time joto lishuke mwilini niweze simama. Salon hizi jamani!
 
wewe umeenda na mawazo mawili mawili ndiyo maana,unatakiwa unamwambia nimekuja kufanya abcd hayo mengine sijayapangilia,ila ukifika ukaanza kufikiria na mambo mengine hizo nistarehe zako

To be honest mimi sijawahi kufanyiwa hizo huduma zaidi ya kuoshwa kichwa na maji baada ya kunyoa kwa sababu mbili:

1. Huwa najisikia kinyaa fulani hivyi
2. Siiamini hata chembe moja hiyo mi-chemical wanayotumia.*

But the tabled motion here is: "Nini lengo MSINGI la huduma ya hao mabinti wa salon in connection na vitimbwi wanavyowaonyesha waendao salon?" Je, yumkini jamii haiko aware na biashara ya ........ inayoendeshwa siku hizi kisasa na hadharani?*

Think big!
 
Back
Top Bottom