Jana kuna ajali mbaya sana imetokea nimekaa kimya ili muone faida ya Wakukurupuka1 humu ndani

wakukurupuka1

JF-Expert Member
Feb 17, 2023
525
1,187
Jana zimetokea ajali 2 za mabasi ambazo mimi kama Wakukurupuka1 ilibidi nikae kimya nione kma kuna media yoyote italeta hizi taarifa kwenu.

Hakuna media yoyote imeleta taarifa hizi na kwa taarifa yenu hizo fungia fungia zimeanza baada ya mimi wa kukurupuka kuwaumbua serikali

Twende kwenye ajali za Jana

Ajali ya kwanza basi moja linafanya safari zake kati ya tabora kwenda mbeya chuma imelala mazima ila sijapata taarifa kuhusu vifo


Taarifa ya pili ambayo ni mbaya ni ili basi linafnya safari zake kati ya Dar kwenda Iringa.
Ningetuma picha humu ila hakika ni ajali mbaya maiti kama 5 zimesagika kabisa..


Mamlaka ziliweka ulinzi ili kulinda sura ya iyo kampuni na hakuna kupika picha RTO na DTO walishirikiana kwa haraka kutoa ilo basi kwamba litachafua sifa za huo mkoa..


MY TAKE :::
Sababu kuu ya kuwapa taarifa hizi ni muone ajali za mabasi ni kila siku ila serikali inaficha mfano sijawai kuwapa habari ya basi la Phoenix Tanzania (hii basi ilipata ajali igunga na abiria sio chini ya 10 walikatwakatwa na vioo na mtoto mmoja kioo kilimchoma tumboni ila kwa ushenzi wa RTO waliambiwa waendelee na safari wakatibiwe mwanza)



Hizo habari ni za uhakika kabisa
 
Mkuu wakukurupuka1 ubarikiwe sana kwa namna unavyoripoti ajali zinazotokea maeneo kadha wa kadha ya nchi yetu,endelea kupiga kazi mkuu ili kwa pamoja tuweze kupunguza ajali kabisa.
 
Huyu Lazimake yupo Ubungo.Ila endelea kuleta habari.Ni kweli habari nyingi za ajali huw zinaminywa.
 
Haya mambo ya ajali za mabasi yaliondoka kabisa wakati wa Magufuli,baada ya SAMIA kushika Nchi tu ni kama maji yamefunguliwa.
Ni wazi sasa-Sheria zimeanza kulegezwa wakati wa SAMIA
 
Suruhu ya ajali no moja tu kampuni x ikipata ajali wewe fungia kabisa leseni uone kama kuna gari itapata ajali
 
Haya mambo ya ajali za mabasi yaliondoka kabisa wakati wa Magufuli,baada ya SAMIA kushika Nchi tu ni kama maji yamefunguliwa.
Ni wazi sasa-Sheria zimeanza kulegezwa wakati wa SAMIA

Wewe Ndio ujui yalikuwepo sema walichokua wanafanya RTO na DTO Yani ajali ikitokea Yani basi linatolewa kabla ya wagonjwa kwenda hospital ili kuficha siri
 
Back
Top Bottom