Jana hiyo

Huyu ni Mshana Jr kutoka Gamboshi ya Msata. Kwenye hilo jagi usishangae ikiwa kuna damu ndanimwe! [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji15] [emoji15] [emoji102] [emoji102] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Thibitisha, Sumu ni soda kwa ujumla wake au Viambata vyake ndio sumu? weka na Ushahidi wa kitafiti. #@Mkuu wangu Nanoli
 
Umesahau maziwa ya mgando, muhogo mubichi, gahawa, na mikia ya pweza. Bila kusahau maji mengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…