mkuu hapa umechanganya hasi na chanya =0. Ondoa soda zote na hizo cans za kijani, ondoa hizo kekikeki na azam juice. nibakizie matunda dagaa na maharage/karanga.
Nami nilitaka kusema hivyo....mshana sijui kashauriwa na nani.wenye upungufu wa nguvu za kiume utawajua tu
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji100]
Hahahaaaa....hiyo ni zaidi ya nguvu za kiume..tunaitaga NGUVU ZA TENDOView attachment 411187mambo iko hapo