CHADEMA wanaweza kuchukua points hapo ,wawe Frontline haswa viongozi wakizembea watajikaanga kabisa.
Hiyo mikwara ya Fisiemu tu ila wakikaza sio kinyonge wanatoboa....
1. Wakuu kabisa:
JokaKuu, Retired, Allen Kilewella, imhotep, denoo JG, Mdude_Nyagali, Mnyika John Mnyika, CHADEMA, Act, Rabbon, WALOLA VUNZYA, Elli, Mshana Jr, Tindo, johnthebaptist, Erythrocyte, Zawadini nk:
2. Yale mambo yetu si ndiyo haya?
3. Kulikoni kukataa wito?
😅😅😅
Watakuwa wanakula popcorn wakiandika humu.. kufanikisha kuandamana TZ ni ndoto ikiisha sijui lini itatokea..
Ningefurahi kuona mbowe na familia yake wakiwa mstari wa mbele kabisa!
Lissu yeye keshapekeleka familia yake zamani kwa Amsterdam, pambalu (Erythrocyte) atakuwa na majukumu ya ndani.Ningefurahi kuona mbowe na familia yake wakiwa mstari wa mbele kabisa!
Tarehe ibadilishwe maana siku hiyo JWTZ watakuwa wanafanya Usafi nchi nzima.
Lissu yeye keshapekeleka familia yake zamani kwa Amsterdam, pambalu (Erythrocyte) atakuwa na majukumu ya ndani.
Waliobaki ni keyboard worriers.
Hatua chache tulizozifikia kuhusu maridhiano zinataka kuondoshwa kwa nguvu kubwa kabisa, upole na uungwana wa mezani sasa unaonekana si lolote, ikibidi, WATWANGWE TU, hakuna namna ingine, although serekali haitaki kuelekea huko!,....
Umeongea maneno muhim sana , haya ndo mambo naunga mkono kwa 100%1. Kwamba tunataka katiba mpya? La mgambo limelia, haijalishi nani kaitisha.
2. Kwamba siku za nyuma kuna waliotutenda ndivyo sivyo, hayo yalikuwa mapungufu yao; hayatuhusu!
3. "Mwabukusi, Mdude, Buberwa, Sauti ya Watanzania, ACT, CHADEMA, TEC, BAKWATA, MAIMAMU, Masheikh, Maaskofu, nk; fursa yetu nyingine ni hiyo."
4. Adui wa mwenzetu ni adui yetu kindaki ndaki; kuitika wito kumkabili vilivyo, hilo ni jukumu takatifu!
5. Tujifunze kusameheana; uadui si ndwele, haulipi na haupo u milele kwenye uadui au urafiki.
6. Tuwekeze kwenye mapambano ya pamoja, umoja ni nguvu.
7. Yaliwezekana na yakalipa kwenye UKAWA; tuwakane na kuwakemea wote: "wabinafsi na wajinga."
8. Tanzania ni kubwa kuliko vyama, viongozi na hata wafuasi.
9. Hakuna kulia lia; 23/24 tumwagike nchi nzima na zana zetu za usafi.
10. Ikimpendeza Chalamila tushirikiane ikiwamo kuandamana.
11. Katiba mpya, ulinzi, usalama wetu na hata usafi dhidi ya kipindu pindu, ni jukumu letu sote.
12. Kuandamana ni haki yetu.
IGA ni haramu; Katiba mpya ni Sasa!
Umeongea maneno muhim sana , haya ndo mambo naunga mkono kwa 100%
24 kila mtu atembee na mfangio pakuanza kufagia ni kwenye ofisi ya CHALAMILA, na deki tutapiga yani1. Wenye chama wasikilizwe.
2. Hatuyapendi haya:
CHADEMA, ACT, CUF na wengine, na hofu ya kuonja sumu
3. Chama sikivu hakiwezi kutupuuza.
4. No hate, no fear.
Cc: Economist
24 kila mtu atembee na mfangio pakuanza kufagia ni kwenye ofisi ya CHALAMILA, na deki tutapiga yani