JamiiForums ya Maxence Melo imenipatia mume. Clepatina naolewa

Mmeshanyanduana?maana hatukawii kuona ID mpya,mara Jamaa ni tako 2,Jamaa nae adai kakuta bwawa.Hakikisheni vitu hivyo vya msingi kwanza acheni mihemko.
 
.

Najua ndoa zina changamoto, najua mume wangu mtarajiwa atakuwa na madhaifu yake, najua kuna siku za kulia na siku za kucheka najua kuna siku tutapata na kuna siku tutakosa najua kuna mengi mazuri na mabaya yatajitokeza ila hata itokee nini kamwe sitafanya yafuatayo;

1) Sitamcheat hata akipoteza dushe yake.

2) Sitamdharau hata akikosa uwezo wa kunipa jero.

3) Kamwe sitajiona nina akili kumshinda.

4) Kamwe sitapaza sauti yangu ninapoongea nae.

5) Kamwe sitonyanyasa watoto wake ambao mama yao amefariki, kwani tayari nawapenda na wao wananipenda kama nimewazaa mimi.

Kwa mnaonipenda naombeni mniage kwa neno zuri la ushauri.

Joannah Half american Gily
I CAME, I SAW, I CONQUERED.

Una viganja vizuri....... Hizi ahadi zako hizi mmmmh. Anyway kila la kheri
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom