mgunga pori
JF-Expert Member
- Jul 23, 2016
- 4,053
- 4,825
Wako chimboLeten V.A.R bhana wazee
Wako chimboLeten V.A.R bhana wazee
ndio yeyeChiellin huyo
Chiellin huyo
Kweli mkuu, kila siku napitia humu kuangalia VARNyie watu leteni VAR bana..
Kwani V.A.R imefungiwa? Leteni vitu
Labda ameishiwa anakozitoaNyie watu leteni VAR bana..
Compute za V.A.R mbovu zinafanyiwa service si unajua zilikua kwenye majaribio. Kaa mkao wa yajayo yanafurahishaLabda ameishiwa anakozitoa
khaaaa chiellini!!! hiyo ni photoshop washkaji..
Hilo dudud mbona ina sura mbaya sana
Duu hilo tumbua lote lake??View attachment 842861View attachment 842862View attachment 842864
Sent from my TECNO H6 using Tapatalk
Zuri lakini, tatizo nahisi haliweki safiDuu hilo tumbua lote lake??
Hahahahhahaha