Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 77,671
- 167,734
Hiyo ni VAR ya tutoto tunavyohangaishwa na baleheHii sasa ndio V.A.R tamu
Sio ile ya kuscreenshot comments za watu na kurepost, imekaa kitoto
Haujambo Kipenzi ChanguHiyo ni VAR ya tutoto tunavyohangaishwa na balehe
Shadeeya njoo uone hapa kwa nini nimebadili ID πππHaujambo Kipenzi Changu
Hahahaaa. Kwa kweli Kipenzi Changu. π€£π€£ Ila Li Id lako linauzi.Shadeeya njoo uone hapa kwa nini nimebadili ID πππ
Ukaona uje uufufue uzi wakoπ π we bibi una tabu kweliHii sasa ndio V.A.R tamu
Sio ile ya kuscreenshot comments za watu na kurepost, imekaa kitoto
Macho yako yanaona vizuri kweli??? Au unaniwaza....Ukaona uje uufufue uzi wakoπ π we bibi una tabu kweli
Yanaona vizuri na nakuwazaMacho yako yanaona vizuri kweli??? Au unaniwaza....
Bora ingekua tu kipensi changu ππHahahaaa. Kwa kweli Kipenzi Changu. π€£π€£ Ila Li Id lako linauzi.
Japo nawaza tu ndo kusema wanaume hawatakumention tena ama? π€£π€£
Kabisa yaani. π€£π€£Bora ingekua tu kipensi changu ππ
Kaukimbia uzi wake wa kiuhasibu na takwimu za Mayele VS Kibu DenisHahahaaa. Kwa kweli Kipenzi Changu. π€£π€£ Ila Li Id lako linauzi.
Japo nawaza tu ndo kusema wanaume hawatakumention tena ama? π€£π€£
Mwasibu bado tupo na wewe hata kama umebadilisha ID πππHiyo ni VAR ya tutoto tunavyohangaishwa na balehe